Elections 2010 JK: Watuhumiwa wa ufisadi hatuwezi kuwatenga kwani ndo tulionao

Elections 2010 JK: Watuhumiwa wa ufisadi hatuwezi kuwatenga kwani ndo tulionao

Mantissa

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
876
Reaction score
166
Jamani, kweli tulikuwa tunaongozwa na viongozi wa dini kabisa hatukuwa na kiongozi wa serikali. Jamaa kathibitisha kabisa hawezi kuwatengua kwani mpaka hapo bado watuhumiwa. Inakuwaje wagombea ubunge n.k walikuwa wakiondolewa kugombea nafasi zao? Huyu fisadi tu, aondoke.
 
Back
Top Bottom