JK Wedding Entrance Dance

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752

Imetulia kinoma siku ya harusi yangu nami nitaingia kwa staili hii...
 
Last edited by a moderator:
Imetulia kweli ila Kwa makanisa ya Bongo kwanza inabidi uwe na ndoa ya peke yako mana siku hizi unaweza kukuta ndoa tano kwa wakat mmoja.Alafu uje saa 4 kwa ajili ya kutoa show hii then harusi saa7 hapo mana shughuli pevu!
 
Kweli huu ni utani!!!
You would think its the "JK" we know.....
 
Ahahahahaaaah me nilidhani ni JK wa pale magogoni:becky::becky::becky:
 
Ila kama ni kucheza kwenye harusi, mie hii niliipenda maana Baba na binti yake walifunika.

 
Last edited by a moderator:
Duh Huyu mdingi naona yupo fiti kweli na huenda walifanya rehearsal ya nguvu na mwanae!
 
zimetulia......................!dingi na binti wamefunika nimewakubali........................!
 
nahisi iliwalazimu koga tena baada ya ibada, maana mpk sarakasi, si mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…