Elections 2010 Jk wote ni washindi

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Conclusive remark ya JK kuwa wote ni washindi does he really mean it au ndo copy and paste ya kutoka kule Zenji
If the statement is truly from the bottom of his heart then I salute him for that kama ataliishi ilo neno
Atayafanyia kazi mawazo mema toka kwa wapinzani
 
amei kopy na ku paste kutoka Zenj, anajua amechakachua, watu waliojiandikisha Mil 19 halafu watu mil 8 ndio wamepiga kura Jk eti kapata Mil 5, huu ni UWIZI mkubwa sana kutokea TZ, MUngu uko wapi uwakomboe hawa watu hata waamke wajue wanaibiwa hivi? Huyu si rais wangu na watu hao mil 14 ambao wameibiwa kura zao
 

kama ni hivyo aunde serikali ya umoja wa kitaifa.
 
will i get free education .............. no
will cement and mabati be cheaper................. no
will my life get better ................................... no
will mafisadi be held accountable .................... no
will you decrease baraza la mawaziri hence cut cost .......... no
am i a winner.......................................... absolutely not:A S angry:
 

Huwezi kuamani eti watanzania wamekataa vitu hivi! No! CCM imewakatili wapiga kura.
 
kwani hajui kuwa matokeo hayakuwa yake?:nono:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…