Mpaka sasa nadhani muda alioutumia JK kwenye uongozi wake, 60% ni kwenye ziara na 40% Nyumbani Tanzania. Je wandanganyika tutafika kweli huko tuendako??????
Raisi wa Tanzania ni Rostam Aziz. JK ni kama Queen wa England and Wales.
Hizi safari za JK zinatisha kwani hata hajifunzi anapo ona inchi za wengine?Ni swala la kusikitisha sana kwani watanzania hatujui faida za safari zake ndio maana tunaona mpu uzi.Je kwanini asiulizwe hata na waandishi wa habari? Jamani tutafute RAISI mwingine 2010.
Yap na akitoka huko anapitia South Africa
Kazi ya waziri wa mambo ya nje ni nini? Basi angeamua kuchukua pia ni wizara ya mambo ya nje. Nchi nyingine hilo limefanyika mfano Rais anakuwa pia waziri wa ulinzi au waziri wa mambo ya ndani.
Ila tusimlaumu sana, utamu wa kusafiri anaujua hasa baada ya kukaa kwenye hiyo wizara kwa miaka kumi mfululizo
Ndugu zangu
Salaamuni kwa mpigo
Huyu jamaa na safari zake zinakera, lakini pia mjue ni mgonjwa anatafuta matibabu.