jk

Hivi kweli tunasubiri misaada ya yeboyebo na tukutuku za 1.5 milion, unajua hata wanaotupa wakikaa faragha wanatucheka, tumejaza mashangingi barabarani, vipo wapi vipaumbele vyetu vyenye akili!
 
Maskini Ikulu yetu inageuka soko la machingaa:frusty::frusty:
 
Maskini Ikulu yetu inageuka soko la machingaa:frusty::frusty:

nilidhani ni bandarini au alitembelea kariakoo kwenye duka la jumla maana naona mchina ameshika belo lenye yebo yebo.
 
Je hiyo tukutuku inakuwa ikiendeshewa ndani??Na hizo yeboyebo za kuogea mwishimiwa!!au zakutoka nazo garden??jioni!!
 
Nina mashaka kama hapo anakumbuka cha Mwatex, Sunguratex, Bora, Tanganyika packers wala shangazi yao Nyumbu!!!
Wawekezaji, wawekezaji ooh yes... wawekezaji kutoka Google headquarters hadi Zhengzen China, na hayo yote kwa uzalishaji wa kutumia umeme wa Dowans!!!!
 
Hizo picha zinamuonyesha baba yake mzazi na Ridhiwani akipokea Yebo yebo kwa niaba ya Watanzania. Sijui kama hata mimi aliniwakirisha hapo
 
Unatumia billions kwenda kushangaaa YEBOYEBO!
Mbaya zaidi waziri wake anawafukuza kariakoo itawezekana kweli!
bora mm sipo kwa kuwa sikuwahi kumpa kura yangu.................aaaaaagrrrrrrr!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…