Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 83 Sep 7, 2010 #21 Lady N said: kampeni hadi kwenye kwaya Click to expand... JK anakaba kote kote mwaka huu! Kuanzia wafanya kazi mpaka kwenye kwaya!
Lady N said: kampeni hadi kwenye kwaya Click to expand... JK anakaba kote kote mwaka huu! Kuanzia wafanya kazi mpaka kwenye kwaya!
TandaleOne JF-Expert Member Joined Sep 4, 2010 Posts 1,644 Reaction score 709 Sep 7, 2010 Thread starter #22 ELNIN0 said: Yaani baada ya neno AISEE --- AISEE hapo hapo Nchi yetu ikakosa RAIS kwa muda wa dakika kama 15 nzima - :becky: cheza video hii tena uhakikishe. Click to expand... Nasema hivi,JK will win again at 75%+,nawaonea tu huruma jinsi maumivu ya kichwa yatakavyowasumbua.
ELNIN0 said: Yaani baada ya neno AISEE --- AISEE hapo hapo Nchi yetu ikakosa RAIS kwa muda wa dakika kama 15 nzima - :becky: cheza video hii tena uhakikishe. Click to expand... Nasema hivi,JK will win again at 75%+,nawaonea tu huruma jinsi maumivu ya kichwa yatakavyowasumbua.