JKCI kuanzisha matawi Zambia, DRC na Malawi. Mbona nchi bingwa kwa tiba kama Tunisia na India hazina matawi nje? Medical Tourism imepata tafsiri mpya?

JKCI kuanzisha matawi Zambia, DRC na Malawi. Mbona nchi bingwa kwa tiba kama Tunisia na India hazina matawi nje? Medical Tourism imepata tafsiri mpya?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Taasisi ya Jakaya Kikwete ya Magonjwa ya Moyo JKCI imesema inatarajia kuanzisha Matawi ya Tiba Kwenye Nchi jirani zikiwemo Zambia, DRC na Malawi Ili kufikisha Huduma zake za kibingwa huko.

Aidha wamedai wataanzisha Matawi ya Kanda ya Arusha na Chato Kwa minajiri hiyo hiyo.

Kwa kuutazama Kwa nje ni uamzi mzuri wa kiubunifu wa kujitanua lakini binafsi Nina mashaka nao kidogo kwani naona unakinzana na sera ya Utalii Tiba.

Sera ya Wizara ya Afya kuifanya Tanzania kuwa Nchi bobevu wa tiba za kibingwa Maarufu kama Medical Tourism.

Tukirejea Kwa mifano Kuna Nchi mbalimbali ambazo zinafanya hii medical Tourism eg Kwa Africa ni Tunisia, Algeria, Morocco, Egypt, South Africa na Kenya.Huko.kuna Hospitali Maarufu na sophisticated.

Swali langu, mbona Sijawahi ona hizo Nchi zikiamua kuanzisha Matawi ya Hospital zao Bora Nje ya Nchi? Ambae anajua anitajie labda siko informed.

Nadhani hawajaamua kuanzisha Nje ya Nchi Kwa vile wanatambua kabisa itakonzana na Sera ya Utalii Tiba kwamba hakuna wageni watakuja. Tunisia inapata zaidi ya wageni Milioni 5 Kwa mwaka Kwa Ajili ya kuja kufanya Tiba lakini sisi tunataka tuchukue Rasilimali zetu tukawajengee wengine Nje ya Nchi,hili Kwa mtizamo wangu sio sawa.👇👇

Ushauri: JKCI iachane na huu Mpango badala yake wao Waanzishe Matawi ya Huduma za Kibingwa kwenye Kanda Zote za Nchi Ili kuwasaidia Wageni kufika sehemu yeyote ya Nchi.

Waanzishe Mtwara, Mbeya, Chato, Mwanza, Kigoma, Dodoma, Arusha nk ila sio kwenda kuanzisha Nje ya Nchi.

Mwisho nilisikia na Hospital ya Rufaa ya Kanda Mbeya nao wanataka waenda Lusaka kuanzisha Hospital, sidhani kama hii ni sawa.

============

JKCI.jpg

THE Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) has unveiled an ambitious plan to start a cardiovascular centre in the Zambian capital of Lusaka, marking a significant step towards becoming a regional hub in that field.

Dr Peter Kisenge, the JKCI executive director, set out this intention at a press conference involving local reporters as well as a four-man team of visiting Chinese journalists from different media organisations.

At the briefing on the institute’s premises, he said that JKCI similarly intends to establish such centres in neighbouring countries like Malawi and the Democratic Republic of Congo.

Collaboration between China and Tanzania has enabled JKCI to build the right infrastructure, procure equipment, and build capacity among general medical practitioners by outreach programmes and clinics, he stated.

The institute has extended cardiovascular care services to local patients and from, within East and Central Africa, he said, noting that upwards of 3000 patients had attended, with unopened heart surgeries for 718 people conducted last year.

He praised the links with Chinese experts and institutions, wishing that it is broadened to facilitate its service expansion. The cordial relationship is enabling JKCI to set up a branch in Lusaka. “We need to serve the whole of Africa,” the medical administrator intoned, asserting that JKCI still needs institutional support to smooth out its ambitions to emerge as a continent hub in cardiovascular treatment.

Local branches at the Chato zonal referral hospital for the western zone and likely Mount Meru regional referral hospital in Arusha city for the northern zone, affirm that JKCI seeks to emerge as an internationally accredited institution in cardiovascular care, training and research.

Dr Zhao Lijian, a visiting paediatric interventional cardiologist, praised the bilateral relationship linking institutions in the two countries in the medical field, pointing out that the link has significantly contributed to improving the provision of specialist medical care.

The collaboration with the visiting medical team enabled the sharing of experience and training of the current generation of local doctors on how to use new equipment to deliver quality healthcare services.

“We made concerted efforts to bridge the gap through knowledge sharing with local doctors and nurses to rescue patients’ lives with global standard quality healthcare,” he said.

In recent years, the Chinese government launched a China-Africa medical cooperation programme enabling batches of Tanzanian doctors to attend further training in China, he said.

China was also sending medical teams to African countries to carry out free diagnosis, treatment programmes, and training camps and donating substantial stocks of medical supplies to these countries, he added.

The Guardian
 
Agakhan ya Tanzania ni tawi la agakhan hospital india.

Apollo ya Tanzania ni tawi la Apollo hospital ya india
Hizo Hospitals zimeanzishwa Kwa makubaliano maalumu ya Nchi tena ya Kusainiana na sio kujitanua kama branches za mabenki auu biashara.

Hivi unaelewa logic ya mada lakini au shida ni tabia za Watanzania za ubinafsi?
 
Mikoani tu hawajafikia watu , gharama zao bado ziko juu bado wanakimbilia nje ,sisi wabongo Mbwembwe nyingi sana


USSR
Watanzania ni watu Wana matatizo sana ya kufikiria yaani Nchi inasema hivi wao wanaenda kule.

Si ajabu hata sera za local content hawafuati yaani ni shida tupu.

Yale Yale ya kina January kujenga Magorofa ya mabilioni Kenya Kwa Kisingizio Cha Uwekezaji.
 
Taasisi ya Jakaya Kikwete ya Magonjwa ya Moyo JKCI imesema inatarajia kuanzisha Matawi ya Tiba Kwenye Nchi jirani zikiwemo Zambia,DRC na Malawi Ili kufikisha Huduma zake za kibingwa huko.

Aidha wamedai wataanzisha Matawi ya Kanda ya Arusha na Chato Kwa minajiri hiyo hiyo.

Kwa kuutazama Kwa nje ni uamzi mzuri wa kiubunifu wa kujitanua lakini binafsi Nina mashaka nao kidogo kwani naona unakinzana na sera ya Utalii Tiba.

Sera ya Wizara ya Afya kuifanya Tanzania kuwa Nchi bobevu wa tiba za kibingwa Maarufu kama Medical Tourism.

Tukirejea Kwa mifano Kuna Nchi mbalimbali ambazo zinafanya hii medical Tourism eg Kwa Africa ni Tunisia,Algeria,Morocco,Egypt, South Africa na Kenya.Huko.kuna Hospitali Maarufu na sophisticated.

Swali langu,mbona Sijawahi ona hizo Nchi zikiamua kuanzisha Matawi ya Hospital zao Bora Nje ya Nchi? Ambae anajua anitajie labda siko informed.

Nadhani hawajaamua kuanzisha Nje ya Nchi Kwa vile wanatambua kabisa itakonzana na Sera ya Utalii Tiba kwamba hakuna wageni watakuja.Tunisia inapata zaidi ya wageni Milioni 5 Kwa mwaka Kwa Ajili ya kuja kufanya Tiba lakini sisi tunataka tuchukue Rasilimali zetu tukawajengee wengine Nje ya Nchi,hili Kwa mtizamo wangu sio sawa.👇👇

View: https://twitter.com/TheGuardianTzO1/status/1816351910493863954?t=AKaRQc-Mgc9d-mvU3v_FVA&s=19


Ushauri:
JKCI iachane na huu Mpango badala yake wao Waanzishe Matawi ya Huduma za Kibingwa kwenye Kanda Zote za Nchi Ili kuwasaidia Wageni kufika sehemu yeyote ya Nchi.

Waanzishe Mtwara, Mbeya,Chato,Mwanza,Kigoma,Dodoma ,Arusha nk ila sio kwenda kuanzisha Nje ya Nchi.

Mwisho nilisikia na Hospital ya Rufaa ya Kanda Mbeya nao wanataka waenda Lusaka kuanzisha Hospital, sidhani kama hii ni sawa.

mkuu nadhani haujawahi hata kufanya biashara ya genge la chips
 
ku export services nadhani ni malengo ya nchi pia, au?
Hakuna kitu kama hicho,exports nzuri ya service ni wao kuja.

Nchi gani nyingine Wana export hiyi service kama nyie ?

Huu ni aina nyingine ya ujinga,Bora tungekuwa tumemaliza Kila zone ndio mfanye hivyo.

Huduma zikiwa Bora watakuja kama nyie mnavyozifuata India na kwingineko.
 
Hakuna kitu kama hicho,exports nzuri ya service ni wao kuja.

Nchi gani nyingine Wana export hiyi service kama nyie ?

Huu ni aina nyingine ya ujinga,Bora tungekuwa tumemaliza Kila zone ndio mfanye hivyo.

Huduma zikiwa Bora watakuja kama nyie mnavyozifuata India na kwingineko.
sijakuelewa services business ni pamoja na hospitality hospital banking insurences marine airways, telecom.

mkuu pamoja na hasira ulizo nazo, export ya medical services itatutoa usipime, tukiweza kuendesha hospital kwa nchi saba za africa wallah tutakuwa mbali sana, kumbuka check up tu ya moyo sio chini ya mil 5,

biashara zingine, ukongelea banking unaongelea uingereza, ukiongelea insurance unaongelea singerpole na sisi ukiongelea tiba ya moyo basi tuongelee Tanzania.
 
Agakhan ya Tanzania ni tawi la agakhan hospital india.

Apollo ya Tanzania ni tawi la Apollo hospital ya india
Ukienda aga khan ya Tanzania unapata tiba ya kibingwa kama aga khan ya India mkuu? Sana sana utaambiwa upewe referral uende aga khan ya India.

JKCI watakosea sana wakifungua matawi ya kibingwa nchi zingine hizo. Labda wafungue vituo tu vya kutolea vipimo kisha wanawalengesha wagonjwa wote waje hapa hapa mwaisela
 
Ni kweli kabisa ila sie bado atujafikia,tujitosheleze wenyewe kwanza ndani ndio baadae tutoke nje
kwani hatujajitosheleza? ulisikia wagonjwa wa moyo wanalala chini? hospital kama hii kuhudumia nchi moja ni hasara, inapaswa ihudumie nchi zote za kusini mwa jangwa wa sahara, hizo zitakazofunguliwa namibia zambia zimbabwe msumbiji kongo ni clinic tu,
 
Back
Top Bottom