JKCI lipeni pesa za mliofanya nao kikao Dodoma. Hii sio mara ya kwanza, acheni utapeli

JKCI lipeni pesa za mliofanya nao kikao Dodoma. Hii sio mara ya kwanza, acheni utapeli

Mzee wa Code

Member
Joined
Sep 23, 2024
Posts
61
Reaction score
91
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete tunawaomba Mfanye malipo ya Kikao chenu mlichofanya Dodoma na Waandishi wa Habari Ukumbi wa Habari Maelezo, Tabia yenu ya kuwafanyisha kazi watu na kutowalipa watu acheni mnaitia aibu Taasisi Hii yenye Jina la Mzee Wetu Jakaya Kikwete

Hii imekuwa Tabia yenu kila mnapofanya warsha au semina mmekuwa mkiwadhulumu washiriki kwa kisingizio cha malipo bado mnaomba akaunti namba na namba za simu halafu mwisho wa siku hakuna malipo

Mkuryngezi Mtendaji wa Wa taasisi fanya uchuguzi idara yako ya fedha imekuwa ikiwapiga sana watu wanaofanya kazi na Taasisi yako
 
Back
Top Bottom