JKIA 4th busiest airport in Africa

I don't see JKIA in the top 5
 
Wow!....126 flights daily means more than 5 flights an hour.
I wonder how many flights JNIA handles in a day.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
JKIA VS JNIA tulisha funga mjadala nyinyi wageni humu if ndiyo mnaleta ubishi wakenya wakongwe wamenyamaza kimya wanawaonea haya,
Kuhusu JNIA kuupita uwanja wenu mpya Kwa kila kitu tulisha funga Uzi bila ubishi
Mlifunga lini na wakati tangu hilo go down lenu linajengwa nipo...

Halafu hujajibu swali, kwn mlijenga kiwanja kingine kinachojiita JNIA?[emoji1787][emoji1787]
 
Mlifunga lini na wakati tangu hilo go down lenu linajengwa nipo...

Halafu hujajibu swali, kwn mlijenga kiwanja kingine kinachojiita JNIA?[emoji1787][emoji1787]

Julius Nyerere International Airport.
 
Tihahahhaaaaa, Haki Education system ya hawa watu ni ya kuhesabu mayai
Yani hawa watu bora tu ameona kitu mtandaoni analeta kwenye forum bila hata kujiuliza inaongekea nini haswa. Even most links zenye wanaletanga huku if you read the content therein, it sharply contradicts what they are trying to defend. I have witnessed this so many times. Sijui ni kiingereza ndio inawapiga chenga ama ni uelewa tu ndio hawana. Nimeshangaa sana kuona viwanja za Spain kwenye hiyo list yake. Very funny people
 
Mlifunga lini na wakati tangu hilo go down lenu linajengwa nipo...

Halafu hujajibu swali, kwn mlijenga kiwanja kingine kinachojiita JNIA?[emoji1787][emoji1787]
Kuanzia 2022 hiyo Kenyatta airport itakuwa inashindana PAX na Zanzibar airport. Dar es salaam airport itakuwa na level za international as regional hub. Kumbuka Dar changes to Mega City by 2022 also.
 
Kuanzia 2022 hiyo Kenyatta airport itakuwa inashindana PAX na Zanzibar airport. Dar es salaam airport itakuwa na level za international as regional hub. Kumbuka Dar changes to Mega City by 2022 also.

That's not anything new, We have heard that since 1963, what only happens is a widening gap
 
GOOD BUT THE FIRST ONE IS A RENDER
Picha imekua nzuri hadi unaamua kuita render lol we jamaa hopeless kwel
Huo uwanja Ni mzuri sana hauwez kukubali tu lakin huo ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…