JKIA has achieved Category One status that allows for direct flights to USA

Quickly, is there realy democracy in Nyanza region? Is that the democracy u fought for? What's happening in luo Nyanza politics, u call that democracy? Ha!
 
And since u claim to know me, I kindly request u not to show HIS crazed, overzealous supporters in my village what I have been up to here, lest they torch my house and declare me a persona non grata.

That's the HIS democracy for you...
 
Sasa baada ya hizi achievements zooote, unaskia watu bado wanawika ati "Uhuru must go!"
Jokenya konyou tek yawa...

Wanowika Uhuru must go have their reasons, kama wewe unapanda ndege kila siku kuna wananchi wenzako wengi zaidi yenu hawapandi hizo na wanaona ni akheri bwana Uhuru angewekeza kwenye masuala mahususi yanayowagusa, don't be selfish.
 
Vipi pangaboy zenu zimewanufaisha wakulima vijijini???? Maana hiyo ndio mantiki unayotumia..
 
Vipi pangaboy zenu zimewanufaisha wakulima vijijini???? Maana hiyo ndio mantiki unayotumia..

Sanaa, mapangaboi yetu yamesaidia pakubwa tu, yamebase kwenye safari za mikoa kwa mikoa, wakulima wanasafirisha mazao yao kwandege, though sio wote, but inasaidia kusema ukweli, me sijapinga huo mradi bwana mzalendo mkenya, me nimempinga ndugu ako, bwana inocolosclastes kwamba hao wanaosema Uhuru must go wanayo sababu pia, he shouldn't demonize them. Lakini kwa kupata ruhusa ya kuaccess route moja kwa moja hadi marekani, hongereni sana, embu nielezee, hiyo safari itaweza chukua masaa mangapi unadhani.
 
Wanjala ..even to date you still question Raila???Everything that RAO has made noise about has been proven to true...get your head out of the caliginous caves of MT KENYA..You must be eating meat with them wengi kama mimi ni kumeza mate..
 
Kwa mantiki yako ya hapo awali, ina maana kila Mtanzania anatumia hao mapngaboy kusafirisha mazao???

Kila mtu huwa na sababu za kumpinga kiongozi aliyepo, hamna siku kiongozi atatawala watu zaidi ya milioni 40 na wote wakuchekee. Humo pataibuka watu wa kila aina, wengine watakua wanakukosoa wakiwa na nia ya kukuboresha, wengine watakua na nia ya kukukwamisha kwa kila hatua, na wote inabidi kuendana nao tu.

Rais Uhuru ametenda, amefanya na yanaonekana na yanatajika ukanda wote wa Afrika Mashariki na Kati na Afrika yote. Lakini hata hivyo kuna maeneo ameteleza na kufanya makosa, na ingelikua vizuri akarekebisha. Tatizo lipo pale wanaomkosoa kwa kila hatua, hawana lolote nzuri kwake, ukiwauliza wao husema hamna hata moja nzuri alilolifanya.

Halafu ukifuata sana wanaomkosoa kihivyo, wote wamejaa matope na madoadoa, viongozi wa upinzani leo hii wote wamekua kwenye serikali na katika nyanja muhimu. Humo kuna aliyekua waziri mkuu, makamu wake na pia aliyekua makamu wa rais, na wote walitajwa katika tuhuma mbali mbali za ufisadi na kazi zao tuliziona hivyo hawana jipya zaidi ya kukwamisha.

Cha msingi, ni bora kukosoa, lakini ukosoaji uwe wa kizalendo ukiwa na nia ya kuboresha na sio kuharibu na kukwamisha kila nzuri.
 
Ya nyani kutoona 'kubawe'. Hata kiswahili sii chenyu. Bado wewe ni mtumwa tena sana. Hebu wewe mjuzi WA lugha, katueleze kwa kindani 'kubolonga' ndio nini haswa. Ama unamàanisha 'kuboronga'
Kubawe, sii chenyu,
kindani, 'kuboronga'

Jamani wakenya mbona si jawahita kwa majina yenu
 
It's I C O N O C L A S T E S
 
Wanowika Uhuru must go have their reasons, kama wewe unapanda ndege kila siku kuna wananchi wenzako wengi zaidi yenu hawapandi hizo na wanaona ni akheri bwana Uhuru angewekeza kwenye masuala mahususi yanayowagusa, don't be selfish.
La hasha. Mimi ni nadra sana kutumia ndege, nimewahi zitumia kwenye safari chache tu.

Sijakataa watu wasimpinge Uhuru Kenyatta na serikali yake, lakini si ni vyema kumcriticize kwa mambo ya kweli na zenye tija, na pia kumpongeza pale panapofaa kila anapofaulu katika jitihada zake za kuboresha hali ya maisha na kiuchumi nchini?
Upinzani kamwe hampi pongezi ingawaje amejitahidi sana kufanya kazi yake vyema, wao huzingatia mapungufu yake tu, ilhali ukiscrutinize kwa undani utendakazi wa Uhuru na serikali yake, utakuta kuwa his achievements exceed his failures/weknesses, tena kwa umbali.
Hawa wakereketwa wa upinzani huzingatia suala moja tu, moja tu, moja tu.........Corruption. Rushwa. Na hivyo kudai njia moja tu ya kukabiliana na suala hili ni kumwondoa Uhuru na kumreplace na upinzani. Lakini ukiangalia viongozi hawa wanaopigiwa upatu humu na wapinzani, yaani wote wana sifa hizo hizo chafu za kushiriki rushwa.

Wakati flani walidai kutompenda juu ameshindwa kudhibiti hali ya usalama nchini, lakini sasa ni zaidi ya mwaka tangu magaidi kutenda mashambulizi humu nchini, hawana sasa na cha kumsingizia.

Uchumi unaendelea vyema, ukiangalia ripoti za mashirika ya kimataifa. Quality of life ya raia inaendelea kuimprove.
Kwa hivyo upinzani haina hoja. Ni hot air tupu. Kelele za chura.
 
Wanjala ..even to date you still question Raila???Everything that RAO has made noise about has been proven to true...get your head out of the caliginous caves of MT KENYA..You must be eating meat with them wengi kama mimi ni kumeza mate..
Kwani ...let me ask you ...is everyone who opposes raila from mt kenya ?...wachanga upuzi ...tribalist ...you just hate kikuyus that much ....
 
Wanjala ..even to date you still question Raila???Everything that RAO has made noise about has been proven to true...get your head out of the caliginous caves of MT KENYA..You must be eating meat with them wengi kama mimi ni kumeza mate..

Not all people opposing Raila are from Central, there lies a lot of independent minds in Kenya who doesn't go with stereotyping. I don't do stereotyping, It is very true that Uhuru has done a lot, when you visit construction review Magazine on Africa, it will proof this, that in 2016, Kenya was the leading investor in infrastructure in Africa. We have seen things being done the way we never expected in an African context.

I love Uhuru, the Corruption scandals are just because Kenyans are born with higher index of corruption. Any person given a ministry wants to steal, but when research is done, 18 out of the 21 cabinets have done well under Uhuru including mining!!

The issue is what can Raila Offer??

Raila is a selfish opportunistic and egocentric politician, something i really hate. Can you recall in 2000??? When he realized Moi was about to retire, he joined Kanu, joined Moi, so that Moi can choose him, after moi rejecting him he despises him!! I just don't like Raila as i don't see anything he can do better, if not filling his pockets and running revenge on any person who ever did him wrong!!!
 
jubilee ni janga la taifa. i want someone with jubilee promises for an objective discussion sio raila hili uhuru lile! uhuruto ndio wapo serikalini sio mwingine. lets prosecute their promises vs what has been delivered!!!

Attachments

  • upload_2017-2-25_18-34-17.jpeg
    9 KB · Views: 23
Wanjala ..even to date you still question Raila???Everything that RAO has made noise about has been proven to true...get your head out of the caliginous caves of MT KENYA..You must be eating meat with them wengi kama mimi ni kumeza mate..
Haha no wonder you are bitter with Uhuru.. You must be salivating for what he has. Haters are always secret admirers you know.

So now, if you are wise (ata kidogo) Then i suggest you get of your complainant ass and work hard for what you want. Kupiga kelele won't earn you anything.
 
This has has deteriorated quickly from a thread about JKIA CAT 1 status to a thread about some criminal corrupt shitty tribal African politicians, SMH!
Thread has been officially derailed!

OVA!
 
KQ will start direct flights bu next month, according to their communication team
 
Great news, a direct flight to NY is so amazing, just prepare more drinks as i will turn my seat into flight bar
 
KQ will start direct flights bu next month, according to their communication team

Ehee. These Kenyans. Our aggressiveness,( if there is a term like that) Is our added advantage. Hiyo speed... man!
 
It has been awaited with bated breath! It opens up enormous route for business, especially horticulture in particular flora-culture. You can imagine having Europe and America as ready market for such products!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…