Mzee Mlowezi
Member
- Jan 16, 2007
- 27
- 2
Umuhimu wa China na India kwa nchi za magharibi ulijulikana kabla Nyerere ajaenda Edinburgh. Usione uvivu kupekua maandishi.
..Si umerekebisha tayari, why bring it to us for no reason...Or its about the number of posts!Sorry it is VISIONARY and not vionary
Umuhimu wa China na India kwa nchi za magharibi ulijulikana kabla Nyerere ajaenda Edinburgh. Usione uvivu kupekua maandishi.
That does not negate the fact that he was a great visionary...
Zakumi, hakuna matata, hebu nitonye basi nianzie wapi?
No no noooooo....nooop Zakumi!
Sio ishu ya uvivu wa kupekua vitabu, otherwise kusingekuwa na kuleta threads hapa, maana tunge`assume ` kila mtu ashapekua vitabu na dokomenti husika!...Hapa tunajuzana na kushea kile ambacho unapenda wenzio wajue..
Kwa akili zako unadhani wangapi walijua juu ya umuhimu wa China et al` kwa Western Countries!...Lets discuss the pertinent matter here, not much-knowing...huh!