JF Senior Expert Member
Join Date : 1st November 2010
Posts : 777
Thanks 23 Thanked 123 Times in 61 Posts
Rep Power : 22
Ushauri: Jk jiunge na twitter!
Tweeting ni njia inayotumika sana sasa hivi kupeleka ujumbe na kupokea ujumbe kutoka kwa watu, Hapo zamani ilikua ngumu sana kuwasiliana na wanasiasa wakubwa au celebrities lakini sasa, thanks to technology, ni kitu rahisi tu.
Si lazima kukaa katika PC, with well protected smart phone, Rais wetu anaweza akawa anawasiliana nasi moja kwa moja kupitia twitter, Kama ataamua kufanya hivi hata upotoshaji wa habari utapungua kwa sababu kila mtu atakua na uwezo wa kuingia na kuona kile JK anasema yeye mwenyewe (sio kupitia kwa wasaidizi wake).
Wapo marais kadhaa wanatumia twitter. Barack Obama amekua akitumia twitter, hii imemsogeza karibu sana na raia wa nchi yake, unapata habari fasta kuliko hata kabla hazijatangazwa na CNN, pia wananchi wanaweza kumwandikia moja kwa moja katika twitter account yake.
Zamani ilikua ngumu sana kuwasiliana na celebrities mbalimbali lakini leo ni rahisi tu 'ukim-tweet' rio ferdinand, au michael owen, au wayne rooney au Antonio Valencia anapata msg yako moja kwa moja nae anaweza kuku-RT, of course si mara zote unapata RT bse watu wengi wanawafatilia na wanawa-tweet lakini at least unaweza kuwasiliana nao moja kw moja.
Please our Lovely President join twitter ili tuwe tunapata updates live bila chenga kutoka hapo magogoni
Ubarikiwe!