mic az were.!!!! yape taulo yote yaliyochaguliwa round ya tatu! au 2tayapa koz ci wenyewe chuon,make wengne 2meburst koz
haya yametolewa kimakosa bwana,mbona ilboru na benjamin waliendaga wote first round na wamewekwa tena?

Makosa yapo kwenye hizo shule tu, afu kuzitoa ni kazi ndogo sana, lakini kuhusu suala la hao ambao hawakuenda mwanzo ni lazima waende...
mimi siwatetei kabisa, nitachuma dhambi za bure kwa muumba, mbona jkt walitangaza tangu awali kuwa kutakua na 2nd, 3rd na 4th intake za jeshi kwa waliomaliza form 6....
Narudia tena, hao ambao hawakuenda jkt mwanzoni LAZIMA WAENDE.... amini usiamini chuo MEI mwakani

jaman believe it o n't jesh n 2016 walikosea 2 n matatzo ya kiufund 2 (kutoka jkon)
Makosa yapo kwenye hizo shule tu, afu kuzitoa ni kazi ndogo sana, lakini kuhusu suala la hao ambao hawakuenda mwanzo ni lazima waende...
mimi siwatetei kabisa, nitachuma dhambi za bure kwa muumba, mbona jkt walitangaza tangu awali kuwa kutakua na 2nd, 3rd na 4th intake za jeshi kwa waliomaliza form 6....
Narudia tena, hao ambao hawakuenda jkt mwanzoni LAZIMA WAENDE.... amini usiamini chuo MEI mwakani
eti eh! usiniambie!
ivi amiri jesh mkuu ni nani tenaaa...?! hahaha. utamu huo.
Wazi krutuuu... lakini Updated boy< umeharibu kaziii maana washatoa hadi majina
itakuwa very hard.,kikubwa kuna uwezekano mkubwa hcho ki2 ni az weah! Updated-boy
heee kumbe kurutu?
Wanajeshi kiboko. As you were wao wanasema Ajwaaaa!. Reorganise wao wanaita Riogo. For Christs Sake wao wanasema fokrast.
Jamaa kiboko hawa.
2016???na wanaomaliza 2017 mf.engeneers,geologists au 2018 mf.medicine
Wanajeshi kiboko. As you were wao wanasema Ajwaaaa!. Reorganise wao wanaita Riogo. For Christs Sake wao wanasema fokrast.
Jamaa kiboko hawa.
His eminance Hon. Pres. Jakaya Mrisho Kikwete....
Amri ya jeshi inatuka kwa raisi
thumb up raisi wangu.. Mungu akuongoze hasa wakati unafanya maamuzi magumu kama haya, yenye manufaa tele kwa jamii yetu