jkt au chuo

jkt au chuo

kolelela

Senior Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
173
Reaction score
33
huu ndio wakati wakufanya maamuzi kati ya kuvaa gwanda au kupiga kipapa au vipendo chagua moja kusuka au kunyoa,chagua moja unga wa ndele au rutuba
 
Unga wa rutuba ndio mpango mzima.........:A S angry:
 
huu ndio wakati wakufanya maamuzi kati ya kuvaa gwanda au kupiga kipapa au vipendo chagua moja kusuka au kunyoa,chagua moja unga wa ndele au rutuba

Unaleta fasihi. Jkt imewaita vijana waliokosa mkopo kwa hiari yao.!
 
Back
Top Bottom