Unga wa rutuba ndio mpango mzima.........:A S angry:huu ndio wakati wakufanya maamuzi kati ya kuvaa gwanda au kupiga kipapa au vipendo chagua moja kusuka au kunyoa,chagua moja unga wa ndele au rutuba
Pole sana....mkopo wamezngua sasa hivi bora niende jkt chuo mwakani
huu ndio wakati wakufanya maamuzi kati ya kuvaa gwanda au kupiga kipapa au vipendo chagua moja kusuka au kunyoa,chagua moja unga wa ndele au rutuba