JKT Awamu ya tatu

JKT Awamu ya tatu

am_pammy

Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Wadau awaMu Ya 3 IPo au tunapeaNa Pressure tu? NaombeNi msaaDa haPo
 
Ipo kijana mwezi wa 9 mnasepa .. source jkt website na pia niliiona kwenye matangazo ya jkt tbc taifa so jiandae
 
Uandishi wako ni kama upo kujifunza kusoma na kuandika.
 
Vipi suala la vijana kupoteza maisha wakiwa makambini, je kuna mwenye taarifa zozote kuhusu hilo.?
 
Awamu ya tatu ipo. kwan mpango huu nikwawote waliohitimu kidato cha sita.
 
Jkt. Website inasema mcanini tetrc hzo kama vp Muingie msome kuna tangazo pale
 
Ila haija specify ni lini ila wamesema mafunzo yata endelea kuendeshwa kwa vipindi tofauti tofauti..sasa cjui ni lini bora wangesema yapo tujue moja kuliko kutuweka njia panda.
 
Ila haija specify ni lini ila wamesema mafunzo yata endelea kuendeshwa kwa vipindi tofauti tofauti..sasa cjui ni lini bora wangesema yapo tujue moja kuliko kutuweka njia panda.

achana tangazo hli la sasa hvi! Hta lile la mwanzo hujalielewa, coz hli tangazo la pli linasisitiziaa lile tangazo la mwanzooo! Ni hayo tuuuuu mkuu
 
baba nmetembelea jkt ,wamesema kama kawaida lazma kwenda

daah mwanangu! Chuo ndo january sasa! Me naona bora ingebak octber, coz nw tungekuwa tunajiandaaa kupokea boom
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1375484738375.jpg
    uploadfromtaptalk1375484738375.jpg
    14.6 KB · Views: 436
Hamna cha jkt wala nini ambao hawajaenda ni zaidi ya 20,000 watawagawanaje kwnye hzo kambi .Chuo october.
over...
 
Chuo ni october kwa sababu tayari bajeti ilishapita,vyuo vya binafsi havina ruzuku toka serikalini hivyo vinategemea wanafunzi wapya ili viweze kujiendesha,
Jkt haina uwezo wa kuchukua wanafunzi elfu 20 waliobaki kwa mkupuo mmoja.
 
Back
Top Bottom