nlimwambia uyo major kuhus hlo akasema itabid kiharishwe hadi mwez wa kwanza.. ila mambo ya hii nchi hutakaa uyaelewe tusubir 2.
wadau awamu ya 3 ipo au tunapeana pressure tu? Naombeni msaada hapo
wadau awamu ya 3 ipo au tunapeana pressure tu? Naombeni msaada hapo
Vipi suala la vijana kupoteza maisha wakiwa makambini, je kuna mwenye taarifa zozote kuhusu hilo.?