mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
kaka kuna condition serkal imetoa kwavyuo vkuu kuwa lazma wanafnz wakguliwe vyet vya jesh ndo wapewe udahili.source VC UDSM.Kongamano la elim na uzalendo la tarh 28-6-2013 nkurumah hall udsm.
Inakuaje kwamba nimeambiwa na jamaa kwamba usipoenda Jkt baada ya kumaliza 6 huwezi pata chuo so watakibania vp? Maana application ni through tcu inamaana kwamba tcu wataangalia walopita jkt au ni inakuaje naomba nielezwe?