Jkt-diploma.degree,masters na zaidi.......

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Sasa imefika wakati wa kutoa nafasi za JKT kwa wataalamu wote...na kuacha mawazo mgando kuwa JKT ni kwa std 7 FORM 4,NA FORM 6 TU.
 
Wazo zuri...lakini je hao wenye hizo masters na ma-degree mengine wanavutika kwenda huko kwa kiasi gani?
Kwanza bongo hizo digree zenyewe zinapatikana kwenye umri gani? May be kwa sasa hivi wanafunzi wanajiunga na shule mapema na hawasubiri mwaka mzima ndo wajiunge na chuo huenda wakapata degree katika umri mdogo!
 
Ukiwa na digrii wanaconsider umri hadi miaka 30.jaman jkt tena inapenda sna wasomi wenye fani zao sema wasom wengne hawapend au wanaogopa jesh.Mm stil nakamua tu nkishapata digrii natumbukia huko tu.
 
nafasi zote hizo iwe polisi,magereza,jkt na jwtz tunazisubiria sana sisi magraduate hali ni mbaya mtu ukiona anachagua basi huyo mambo safi
 
Ukiwa na digrii wanaconsider umri hadi miaka 30.jaman jkt tena inapenda sna wasomi wenye fani zao sema wasom wengne hawapend au wanaogopa jesh.Mm stil nakamua tu nkishapata digrii natumbukia huko tu.

mi najua graduate wote age mwisho 35...
 
ujumbe utakuwa umefika tunasubiri hizo nafasi watoe tujichanganye huko........uzalendo muhimu...
 
Wenzangu magraduates nafasi huwa mpaka mwz wa kumi had kumi na mbil ndo znatoka,miez hii huwa ni ya wale wasio na profession.muwe mnatembelea Mwanzo | JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA mtajua zikitoka,lakn muwe na marefa coz hata huko rushwa mtindo mmoja...msitishwe yafaa kujione mwenyewe.
 
Sasa imefika wakati wa kutoa nafasi za JKT kwa wataalamu wote...na kuacha mawazo mgando kuwa JKT ni kwa std 7 FORM 4,NA FORM 6 TU.

zinatoka lini hzo nafasi mbona hujawa specific kwenye tarehe na mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…