jkt form six

jkt form six

Parasite

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
613
Reaction score
575
polen na majukumu kuna wachangiaji wa jukwaa hili walituletea habari kwamba jkt kwa kidato cha sita imefutwa kisheria sasa leo tunasikia habari tena kwamba madogo wanatakiwa kuripot maeneo waliyopangiwa fasta na miongoni mwao ni dogo langu amemaliza Minaki na amepangiwa Moro plz hebu tujuzane hapa
 
Back
Top Bottom