JKT Half Marathon 2023 kufanyika Dodoma Jumapili

JKT Half Marathon 2023 kufanyika Dodoma Jumapili

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Mashindano ya Mbio za barabarani za nusu marathoni za JKT ( JKT Half Marathon 2023) Kufanyika Jumapili tarehe 25 Juni 2023 Jijini Dodoma.
Mbio hizo ni za Kilomita 21 (21.1K), kilomita 10 (10K) na Kilomita tano (5K, Fun Run).

Zawadi za Washindi zimeshatangazwa, 21K anachukua milioni moja na nusu (Mwanaume na Mwanamke) na mtiriko wa zawadi ni hadi mshindi wa 10.

Milioni Moja kwa kilomita 10 (Me/Ke) na mtiririko wa zawadi ni kwa washindi kumi.

Pia kutakuwa na Medali, na “Wristband” kwa Washindi wote.

C4D1E49C-FCE0-4115-B46C-AAEF885ED9F5.jpeg
 
Back
Top Bottom