Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kama miaka 2 hivi imepita kwa I'd nyingine nilishauri kidato cha sita badala ya kwenda JKT kwa mujibu wa sheria waende VETA kwa mujibu wa sheria ikiwezekana wakae huko mwaka au miezi sita .
VETA watarudi na ujuzi kamili ambao utaweza kuwachallenge mafundi wa mtaani.
VETA cheaper ukilinganisha na JKT.
Kwa miezi 6 au mwaka kijana atatumia kiasi kidogo cha fedha kupata ujuzi VETA kuliko kiasi kingetumika akiwa JKT
JKT hata ukae miaka 5 hakuna ujuzi wa maana utakaokusaidia kuwachallenge mafundi wa mtaani.
Kuhusu uzalendo ni wakati sasa JKT waende vijana wa kujitolea tu tena ile fomu ibadilishwe, baada ya kuandika kijana atarudi nyumbani mara baada ya mkataba kuisha waandike "Kijana atatafutiwa ajira akifaulu vizuri na kuonyesha nidhamu njema".
Kuna stadi unazipata ukiwa JKT ila huwezi kuwa competent sana. Mimi mwenyewe nimetumikia JKT ila niliambulia kujua kilimo cha matikiti tu. Je, nikalime bila mtaji?
Sio wakati wa serikali kutoa mtaji wa Vijana wanaorudi toka JKT?