Jkt ipo kama kawaida......!!

hata mwenyekit na katibu wake wa baraza la mitihan waligoma kufuta matokeo ya 4m4 lakn yalifutwa na matokeo mapya yakatoka,xo hata km vyuo vmexema vtafungua mwez 10,km mjengon wameamua vyuo vtafuata 2,xo tar zakufungua vyuo zisiwape uhakika coz serikal ye2 haijielewi
 

nimeipenda sana hiii safi GK
 
hata mwenyekit na katibu wake wa baraza la mitihan waligoma kufuta matokeo ya 4m4 lakn yalifutwa na matokeo mapya yakatoka,xo hata km vyuo vmexema vtafungua mwez 10,km mjengon wameamua vyuo vtafuata 2,xo tar zakufungua vyuo zisiwape uhakika coz serikal ye2 haijielewi
 

bora we umenifanya nzinduke kidogo maana nilizima! ila bado akili haixomi!
 

ufafanuzi wako ni mzuri,you are a great thinker
 
Bora mpungue muende huko JKT ili tupate mikopo kiulainii
 
Haiwezekani labda chuo wabadilishe mfumo wao haiwezekani wengne waendelee kusoma wengne wawepo jeshini
 

hao wa mjengoni sio baba zako hawakusaidia chochote nenda karipoti chuo tarehe zikifika.hayo ni maisha yako watoto wao hawaendi JKT
 
hii ndo Tanzania.........................!


No communication msihofu vijana wenzangu, nendeni na mkifika huko hakuna tofauti na mlipotoka mtafundishwa ukakamavu ambao tayari mmeshafundishwa tokea form 1 mnapofundishwa test tube pasipo onyeshwa nayo ni ukakamavu pia.


huku mtaambia kuna silaha zenye nguvu kuliko hizi (magobole na zingne mlizoshika mikononi wakati huo...) mkitajiwa mifanoo kuna Alex.nder Kalash.kov Machine (AK 47) M 60 siyyo M 23 ile ya.......! ambako hakuna tofauti na mlipotoka.

ONYO : kumbukeni lengo la huko ni kupunguza migomo mkicheleweshewa haki zenu nawaombeni muwe na uvumilivu huo huo mnaoenda kuongozewa huko.
 

Uko darasa la ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…