sixmundmtabi
Member
- Jul 12, 2015
- 22
- 1
wadau naomba kuuliza kwa anaejua kuhusu hili, ni lin vijana wa jkt wa kujitolea wanatakiwa kwenda kambini? au serikali imehairisha? maana ni kitambo ss tangu usaili kumalizika na tarh ikapangwa zen watu wakaambiwa safar imeahairshwa! sababu eti ni frm six, ss wameshamaliza kama wik mbili zimepita ila bado kimyaa...naomba mwenye taarf pleas