Jkt kwa mujibu wa sheria form 6 2014

Jkt kwa mujibu wa sheria form 6 2014

apakak

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
898
Reaction score
661
Muda umewadia kwa vijana kwenda kujifunza uzalendo na ukakamavu

JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WATAKAOMALIZA ELIMU YA SEKONDARI KIDATO CHA SITA MWEZI MEI 2014 KUWA WATAJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI JUNI 2014, KWA UTARATIBU UTAKAOTOLEWA MWISHONI MWA MWEZI APRILI 2014 NA MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT).

Source:vijana kujitolea
 
Kuna tatizo lolote kwa ambao hawataenda JKT?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kuna tatizo lolote kwa ambao hawataenda JKT?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hutokanyaga chuo mkuu ! Nenda jeshi kajifunze vitu vpya

It will be fun trust me ! I have been there
 
Hutokanyaga chuo mkuu ! Nenda jeshi kajifunze vitu vpya

It will be fun trust me ! I have been there

Kuna sheria yoyote inayowakataza kukanyaga chuo ambao hawajapita JKT?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
JKT kwa mujibu wa sheria aina mashiko hata kidogo ukizingatia unatexke na kama bahati mbaya ukafeli uwezi pewa nafasi ufanye usali wa JWTZ.. Nawashauri 4m 6 mgomeshe kwenda ili malekebisho yafanyike muingizwe kwenye system ya ajira kuliko kuteseka ukakosa chuo bahati mbaya na ajira unanyimwa inauma xana wadau kibao walie enda mwaka jana wanasota uswailini na jeshi limewatolea mbavuni
 
Kwanini wasiende?

Faida yake nini? hizo gharama si bora kuwapa wale watakao pata nafasi chuo mkopo wa uhakka mana wanafunzi wengi hawaendelei na masomo kwa kukosa pesa.
 
Jeshi_Ni_Muhimu_Kwenda_Ndugu_Zangu&Hata_Ajira_Iki_Kata_Baada_Ya_Kumaliza_Chuo_Unaweza_Jiunga_Jeshi_Directly.
 
JKT kwa mujibu wa sheria aina mashiko hata kidogo ukizingatia unatexke na kama bahati mbaya ukafeli uwezi pewa nafasi ufanye usali wa JWTZ.. Nawashauri 4m 6 mgomeshe kwenda ili malekebisho yafanyike muingizwe kwenye system ya ajira kuliko kuteseka ukakosa chuo bahati mbaya na ajira unanyimwa inauma xana wadau kibao walie enda mwaka jana wanasota uswailini na jeshi limewatolea mbavuni

MGOMO?
  • 😕

WE ULIGOMA? HEBU ACHA HABARI ZA KUWAPOTOSHA MADOGO WAACHE WAKAPATE ELI

MU MPYA KWA AINA NYINGINE

  • :israel:
 
jeshini hakuna shumbwera Mkashike SMG na kulenga shabaha nendeni mkawe National Service Man
 
Back
Top Bottom