JKT kwa wahitimu wa kidato cha sita 2015

JKT kwa wahitimu wa kidato cha sita 2015

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
594
Reaction score
291
Habari wakuu!

Naomba kuuliza kuhusu swala la mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, Mimi namaliza masomo ya kidato cha sita mwaka huu lakini mtihani nafanya mwakani je nifate utaratibu gani ili niende katika mafunzo ya JKT?
 
Unawezaje kumaliza mwaka huu wakati mtihani unafanya mwakani? Hujui ukisaini kumaliza mitihani yoye ndio unahitimu masomo?
 
Habari wakuu!

Naomba kuuliza kuhusu swala la mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, Mimi namaliza masomo ya kidato cha sita mwaka huu lakini mtihani nafanya mwakani je nifate utaratibu gani ili niende katika mafunzo ya JKT?

Umeshaambiwa ni mujibu wa sheria sasa unaulizia kwani unajipeleka mwenyewe? ustaarabu mtaambiwa kwa pamoja nini cha kufanya.
 
Back
Top Bottom