Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 594
- 291
Na private canfidates hawaendi
*canfidate* ndo kina nani mkuu?
I mean candidates.....nilikosea bt nimeeleweka
ewiiiiiiiiiiiii
Habari wakuu!
Naomba kuuliza kuhusu swala la mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, Mimi namaliza masomo ya kidato cha sita mwaka huu lakini mtihani nafanya mwakani je nifate utaratibu gani ili niende katika mafunzo ya JKT?
ewaaaaaaaaaaaaa
unanikumbusha kikosini mkuu!