Jkt mambo safi bwana:

Jkt mambo safi bwana:

george de hero

Senior Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
122
Reaction score
14
Jamani napenda kuwauliza wanafunz wa kidato cha sita ambao walienda na wako jkt...kuna nn cha muhimu wanachojfunza au ni bata kwa kwenda mbele tu
 
Hakna dadangu karud akiwa mrembo kabsa hakna kwata n kula bata tu nadhan
 
kule bwana utayakuta mwenyewe maana hata nikikuambia utaona kama uongo
 
Back
Top Bottom