george de hero Senior Member Joined Jul 7, 2013 Posts 122 Reaction score 14 Jul 12, 2013 #1 Jamani napenda kuwauliza wanafunz wa kidato cha sita ambao walienda na wako jkt...kuna nn cha muhimu wanachojfunza au ni bata kwa kwenda mbele tu
Jamani napenda kuwauliza wanafunz wa kidato cha sita ambao walienda na wako jkt...kuna nn cha muhimu wanachojfunza au ni bata kwa kwenda mbele tu
N nashy pascal Senior Member Joined May 23, 2013 Posts 111 Reaction score 2 Jul 12, 2013 #2 aiseee #full kwata kijana,mikono ina sugu,ngoz ukakas, wat weusiiiii! #VIPARA NDO HABARI YA #MJINI #JKT BRATAAAA
aiseee #full kwata kijana,mikono ina sugu,ngoz ukakas, wat weusiiiii! #VIPARA NDO HABARI YA #MJINI #JKT BRATAAAA
Ibnu Nindi JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 388 Reaction score 71 Jul 12, 2013 #3 Hakna dadangu karud akiwa mrembo kabsa hakna kwata n kula bata tu nadhan
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,636 Reaction score 6,178 Jul 12, 2013 #4 HAMIS MOHAMED said: Hakna dadangu karud akiwa mrembo kabsa hakna kwata n kula bata tu nadhan Click to expand... huyo dada ako aliegemea mbanga au biwi,majeshi kunoga
HAMIS MOHAMED said: Hakna dadangu karud akiwa mrembo kabsa hakna kwata n kula bata tu nadhan Click to expand... huyo dada ako aliegemea mbanga au biwi,majeshi kunoga
M Mdahoma New Member Joined Mar 8, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Jul 12, 2013 #5 kule bwana utayakuta mwenyewe maana hata nikikuambia utaona kama uongo
M Mbwile Classic Member Joined Jul 15, 2013 Posts 30 Reaction score 5 Jul 24, 2013 #6 Minazi kusimamishwa kwa dada zetu kilazima inaniuma mpaka kesho...