Jkt ni unyanyasaji tu!

Meja vitalis

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
32
Reaction score
14
Hebu tazameni dunia ilivyo na vituko! kila mtu akishapata chansi basi anajitahidi kufunga mlango kuzuia wengine ili wasifanikiwe kama yeye!.tutazame lengo la viongozi wetu wa siasa waliojaa ufisadi na ubadhilifu mkubwa wa mali ya umma ndo leo wanaoleta wazo la kuwapeleka wasomi JKT eti wajifunze UZALENDO!!! hii yote ni kutaka kuzuia ufanyikaji wa ubadhilifu kama wanaoufanya wao,eti msomi aipende nchi yake! kwanini wenyewe hawaipendi??,mi naona bora JKT isitishwe na kila anayepata chansi aitumie sio kupotezeana muda tu! Tumeshindwa hata kujua maana ya"KAMATA FURSA,,,TWENZETU!" fursa hazina mipaka!,ukipata fursa uitumie maana maendeleo yanaanzia kwako!!.
 
Wapi ww ungeenda Jkt ndo ungejua kumbe kule ni zaid ya Uzalendo.Ukiwa kwenye mafunzo utaona ni mateso lakin unapomaliza ndo unajua sure kuna kitu nimejifunza zaid ya uzalendo.
 
Mtoa mada hujakua bado,,fanya kazi kwa bidii sana.,,kama uko shule soma sana,,kama ndo umejiari au umeajiriwa fanya kazi kwa weledi na juhudi sana,,,utatoka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…