Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa wale wahanga wenzangu kwa jkt haya ni baadhi ya maneno ambayo tutakutana nayo jkt xo mwenzenu nshaanza kufanya 2mazoezi twa kucheza kagwalide maskan ili nkifika ruvu niwe fiti...jkt oyeeee kwa wapenda amani na uzalendo!
sema mi tayar npo chuon toka tareh 16 na nshalipa 40% ya ada xo hapa sijielewi kabsaa xema najifariji tuu!
ndo 2nataka 2mfuate mkuu wa chuo 2msikie anaxemaje!!