jkt oyeeee!!mguu pande!mguu sawa!nyuma geuka!kaza makalio!mbele tembea!

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,120
Reaction score
439
kwa wale wahanga wenzangu kwa jkt haya ni baadhi ya maneno ambayo tutakutana nayo jkt xo mwenzenu nshaanza kufanya 2mazoezi twa kucheza kagwalide maskan ili nkifika ruvu niwe fiti...jkt oyeeee kwa wapenda amani na uzalendo!
 
kaka,ushafikiria chuo?
 
2naomba kauli zinazoeleweka me celewi kabixa!
 
kwa wale wahanga wenzangu kwa jkt haya ni baadhi ya maneno ambayo tutakutana nayo jkt xo mwenzenu nshaanza kufanya 2mazoezi twa kucheza kagwalide maskan ili nkifika ruvu niwe fiti...jkt oyeeee kwa wapenda amani na uzalendo!

nan kakwambia wanakaza ------? Au umevurugwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…