JKT RUVU 0 YANGA 1 HUKO TANGA

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
Ni goli la Feisal Totooo,Yanga waendelea kujikusanyia point muhimu.Nimeona nilete hii habari maana jana yote hakuna aileleta watu wamekuwa kimya sana baada ya Al ahly kuingia jijini.
 
Watu wanawaza viroba watavibebaje toka kwa mchina, hadi sasa Paka pori kashakufa Simba bila majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…