MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Si vizuri kukatisha Wachezaji Vijana tamaa. Alikuwa na siku mbaya kazi Kwa matukio 2 lakini si Kwa makusudi. Kichuya Mechi ilimshinda tangu dakika ya 1 hivyo sub ilikuwa sahihi.View attachment 3184539
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni kama aliitaka kadi nyekundu, na alikuwa akicheza kwa maagizo maalum. JKT Tanzania chukueni hatua dhidi ya mchezaji huyu na bodi ya ligi ichunguze tuhuma hizi za upangaji matokeo.
Inafikirisha sana! Vitendo hivi ni aibu!
Naona Bado maumivu yanaendelea..kunywa maji mengiView attachment 3184539
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni kama aliitaka kadi nyekundu, na alikuwa akicheza kwa maagizo maalum. JKT Tanzania chukueni hatua dhidi ya mchezaji huyu na bodi ya ligi ichunguze tuhuma hizi za upangaji matokeo.
Inafikirisha sana! Vitendo hivi ni aibu!
Nafikiri mngeanza kuchunguza account ya Komeni na Baca kwa ile kadi ya AzamView attachment 3184539
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni kama aliitaka kadi nyekundu, na alikuwa akicheza kwa maagizo maalum. JKT Tanzania chukueni hatua dhidi ya mchezaji huyu na bodi ya ligi ichunguze tuhuma hizi za upangaji matokeo.
Inafikirisha sana! Vitendo hivi ni aibu!
JKT wachunguze huko alipoficha, naamini uchunguzi wa makini kufanyika hata kama ameficha chini ya kitanda itabainika tu! Uchumi wake ukianza kubadilika ni ishara toshaBro milungula haipiti bank
Wachezaji wengi wa hapa bongo ni malimbukeni sana halafu utakuta mtu anawatetea eti wachezaji wakigeni wanapewa kipaumbele wapo wachezaji wanaojitambua tungeendelea kuwategemea hawa wakibongo ligi yetu isingefika hapaView attachment 3184539
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni kama aliitaka kadi nyekundu, na alikuwa akicheza kwa maagizo maalum. JKT Tanzania chukueni hatua dhidi ya mchezaji huyu na bodi ya ligi ichunguze tuhuma hizi za upangaji matokeo.
Inafikirisha sana! Vitendo hivi ni aibu!
Zile zinaelezeka na zinaonekana wazi kwamba uchovu ulikuwa ukiwatesa wachezaji, hata na hivyo Bacca hakucheza faul zenye kutia mashaka.Nafikiri mngeanza kuchunguza account ya Komeni na Baca kwa ile kadi ya Azam
Shida yao kubwa ni Njaa! Huyo unaweza kuta amepewa Laki tano tu, Timu imepambana dakika zote anakuja kuigharimu timu kizembe kabisa!Wachezaji wengi wa hapa bongo ni malimbukeni sana halafu utakuta mtu anawatetea eti wachezaji wakigeni wanapewa kipaumbele wapo wachezaji wanaojitambua tungeendelea kuwategemea hawa wakibongo ligi yetu isingefika hapa
JKT wametoka kucheza na Namungo siku 3 zilizopita.Wacha utahilaZile zinaelezeka na zinaonekana wazi kwamba uchovu ulikuwa ukiwatesa wachezaji, hata na hivyo Bacca hakucheza faul zenye kutia mashaka.
*Utaahira sio utahilaJKT wametoka kucheza na Namungo siku 3 zilizopita.Wacha utahila
Nashukuru mmekuja kukiri kuwa ilikuwa penati halali. Halafu kuna yule aliunawa mpira na nadhani refa aliita penati kwa sababu yake na si huyu mnayemtuhumu.View attachment 3184539
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni kama aliitaka kadi nyekundu, na alikuwa akicheza kwa maagizo maalum. JKT Tanzania chukueni hatua dhidi ya mchezaji huyu na bodi ya ligi ichunguze tuhuma hizi za upangaji matokeo.
Inafikirisha sana! Vitendo hivi ni aibu!
TAKUKURU WAMCHUNGUZE IBRAHIMU BAKA INAWEZEKANA ALIPEWA MLUNGULA NA AZAM.Zile zinaelezeka na zinaonekana wazi kwamba uchovu ulikuwa ukiwatesa wachezaji, hata na hivyo Bacca hakucheza faul zenye kutia mashaka.
HATA IBRAHIMU BAKA NI NJAA TU NA UNAWEZA KUTA ILE MECHI YA AZAM ALIYOPEWA KADI NYEKUNDU ALIPEWA LAKI TANO TU INABIDI TAKUKURU WACHUNGUZE AKAUNTI YAKE.Shida yao kubwa ni Njaa! Huyo unaweza kuta amepewa Laki tano tu, Timu imepambana dakika zote anakuja kuigharimu timu kizembe kabisa!
Siamini hilo, mchezaji si computer, ya kuwa timamu kwa kila command. Utimamu wa mchezaji unategemea mambo mengi. Kama una ushahidi sawa, lakini kama ni hisia tu, humtendei haki huyo mchezaji.View attachment 3184539
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni kama aliitaka kadi nyekundu, na alikuwa akicheza kwa maagizo maalum. JKT Tanzania chukueni hatua dhidi ya mchezaji huyu na bodi ya ligi ichunguze tuhuma hizi za upangaji matokeo.
Inafikirisha sana! Vitendo hivi ni aibu!
Na refa aliye kubali goli hili la Bacca naye pia Takukuru wamtembeleeView attachment 3184539
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni kama aliitaka kadi nyekundu, na alikuwa akicheza kwa maagizo maalum. JKT Tanzania chukueni hatua dhidi ya mchezaji huyu na bodi ya ligi ichunguze tuhuma hizi za upangaji matokeo.
Inafikirisha sana! Vitendo hivi ni aibu!
Refa leo kapona??🤣View attachment 3184539

Ninyi ni nyuma kuna mwiko na ni jina mlilolichagua wenyewe kwa hiyari yenu.Hata ukijinunisha una mwiko nyuma.Chura utopolo wewe!Harafu uingie kwako ambako pako wazi kama tundu za choo za zamani zile lenga iingie..
Umeanza kuwashwa tena kumbe nilikupa dozi ndogo nilifikiri nilikupa dozi ya mwezi kumbe unaonekana una wadudu wakubwa sana wanakuwasha njoo nikukune hii itakua funga mwaka ntakupa ya miezi miwili..