Pole kijana!!but never give up,pia ukipata nafasi ya kuongeza kisomo nenda ukaongezee,kuna mahali unaelekea kimaisha,ila bado tu haujapafikia,UTAFIKA TU......Kuna jamaa yangu yuko JKT Tanga nimeongea nae kasema nafasi zinatoka Mwezi MAY so tega sikio..All the best.Naomba nitafutiwe kazi jamani kwenye sehemu nilizotaja hapo kwenye Heading. Wengine mtachukulia poa tu, lakini nipo serious sana. Naomba mwenye kujua utaratibu anasaidie au anishughulikie,nami nione pa kutokea kimaisha. Sifurahii maisha ya Kuwa Idle home na vijiweni. Elimu yangu ni ya Sekondari tu.
0768252589. Ntashukuru.
Pole kijana!!but never give up,pia ukipata nafasi ya kuongeza kisomo nenda ukaongezee,kuna mahali unaelekea kimaisha,ila bado tu haujapafikia,UTAFIKA TU......Kuna jamaa yangu yuko JKT Tanga nimeongea nae kasema nafasi zinatoka Mwezi MAY so tega sikio..All the best.
GOD BLESS YOU.
Tears down my cheeks as I read between the lines ulizoandika. Kama Jf tungekua tunapeana moyo namna hii hata msamaha wa mungu katika maovu mbalimbali tuyafanyayo, tatizo la ajira nk ungeshuka. Yaani wakati mwingine unaweza ukapata majibu ya kuhuzunisha kutoka kwa baadhi ya wana-so-called GREAT THINKERS! Huu ni mfano wa kuigwa.
Naomba nitafutiwe kazi jamani kwenye sehemu nilizotaja hapo kwenye Heading. Wengine mtachukulia poa tu, lakini nipo serious sana. Naomba mwenye kujua utaratibu anasaidie au anishughulikie,nami nione pa kutokea kimaisha. Sifurahii maisha ya Kuwa Idle home na vijiweni. Elimu yangu ni ya Sekondari tu.
0768252589. Ntashukuru.
.Naomba nitafutiwe kazi jamani kwenye sehemu nilizotaja hapo kwenye Heading. Wengine mtachukulia poa tu, lakini nipo serious sana. Naomba mwenye kujua utaratibu anasaidie au anishughulikie,nami nione pa kutokea kimaisha. Sifurahii maisha ya Kuwa Idle home na vijiweni. Elimu yangu ni ya Sekondari tu.
0768252589. Ntashukuru.
Tears down my cheeks as I read between the lines ulizoandika. Kama Jf tungekua tunapeana moyo namna hii hata msamaha wa mungu katika maovu mbalimbali tuyafanyayo, tatizo la ajira nk ungeshuka. Yaani wakati mwingine unaweza ukapata majibu ya kuhuzunisha kutoka kwa baadhi ya wana-so-called GREAT THINKERS! Huu ni mfano wa kuigwa.
Si zani kama ni vizuri sana kuji-limit kwenye hayo maeneo uliyotaja ukazani ndo sehemu pekee pa kutokea kimaisha;Naomba nitafutiwe kazi jamani kwenye sehemu nilizotaja hapo kwenye Heading. Wengine mtachukulia poa tu, lakini nipo serious sana. Naomba mwenye kujua utaratibu anasaidie au anishughulikie,nami nione pa kutokea kimaisha. Sifurahii maisha ya Kuwa Idle home na vijiweni. Elimu yangu ni ya Sekondari tu.
0768252589. Ntashukuru.
Si zani kama ni vizuri sana kuji-limit kwenye hayo maeneo uliyotaja ukazani ndo sehemu pekee pa kutokea kimaisha;
si busara kupeana matumaini kwa mambo ambayo baadae itakuja kuonena si msaada: target yako ni JKT na kwenye hizo Security guard Companies, sawa lkn kwa uelewa wangu huko ni kugumu sana kujinasua kimaisha: kwenye hizi kampuni za Ulinzi Ujira wao aulingani na kazi zinazofanyika, watu wanafanyakazi ili mradi tu muda uende lkn si kwamba maisha unaweza kuya-win kiurahisi we just imagine mshahara wa laki na tano(105,000) kwa mwezi unaweza kufanya nini cha maana!
hivyo hivyo JKT hamna kitu ni kuambulia maumivu na suruba zisizo na kipimo utakaa uko kwa miaka 2 au 3 ukipokea posho elfu arabaini(40,000) kwa mwezi, baada ya hapo unaambiwa umehitimu nenda mitaani katafute kazi, mambo ni yaleyale utaambulia kuwa mgambo wa Jiji n.k kwa mshahala wa laki na ishirini(120,000) kwa mwezi, lbd tu kupitia JKT ubahatike upate chance ya kuingia JWTZ hapo unaweza kunusurika.
What to do:
1. Kwa hiyohiyo elimu uliyonayo unaweza fanya makubwa,kama huna kianzio tafuta vikundi vya Ujasiliamari ujiunge navyo, through that unaweza kujipatia kipato, na ukiona walau mambo si mabaya jiunge na chuo cha VETA, ujitafutie ujuzi fulani ambao utakufanya uonekane ni muhimu katika jamii inayokuzunguka na hatimaye kutoka kimaisha. lkn si hayo ya kwenda kusimama mageitini unalinda binadamu mwenzako kwa kipato duni .
Anyway KK-security jana nilisikia kupitia Redio Clouds wakitangaza nafasi za kazi, hivyo pamoja na ushauri niliokwisha utoa haina shida we nenda kawaone Ofisi zao ziko maeneo ya Mikocheni. ukipanda magari ya kwenda KAWE unatelemka kwa Nyerere hapo utapata mtu yoyote auelekeze ofisi ziliko, ni kama Meta 200 kutoka barabara kuu ya lami iendayo Kawe. Wanataka watu wenye elimu ya kidato cha nne na kuendeleaDah!! My hope is now bult on nothing else.