Jkt V/s Chuo

VanDon

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
396
Reaction score
680
Mwaka huu wametuvuruga vya kutosha sana......Kuanzia kuchelewesha matokeo......tcu nao wakatuzingua.....heslb wakatuzingua na sasa ni zamu ya jkt ...............:frusty:
 
Mwaka huu wametuvuruga vya kutosha sana......Kuanzia kuchelewesha matokeo......tcu nao wakatuzingua.....heslb wakatuzingua na sasa ni zamu ya jkt ...............:frusty:

Hii ni adhabu kwenu kwa kufanya vibaya
 
Hii ni adhabu kwenu kwa kufanya vibaya
Hakuna mtu aliyefanya vibaya alafu kapangwa chuo inamaana wote tuliopangwa chuo tumefanya vizuri sa iweje watuzingue....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…