Jkt wamevulugwa

teh teh teh kwan waziri kataja n akina nani wanaenda? Kwa taarifa tu ni kwamba wataenda wahitimu wa diploma
 
lazima wakutofombe hapo uclass naona unakisharuala sana...NJOO muhas tubishane

hahaaahaa sasa mbona ulikuwa unaogopa kutajaa chuo chakoo..! Umedanganyaa nn! By the way angalia wasikuhemeee kisogon hapo muhas! NB; na ww njoo UCLAS tubishanee!Overrrrr
 
lazima wakutofombe hapo "uclass" naona unakisharuala sana...NJOO muhas tubishane

wewe ni kilazaaaa! sasa uclass ndo chuo gani hapaa bongo! Me nakijua UCLAS au ukipenda ARU! nina mashaka na ww kwamba muhas umeingiaa kwa kutoaa kabaang yakooo! Overrrr
 
Fideris na darius acheni hizo masela..mbona mnazingua,matusi ya nini wakati nyinyi wasomi au mmefoji vyeti nn..maana hizo lugha mnaongea kama wavuta bangi wakiwa vijiweni
 
Fideris na darius acheni hizo masela..mbona mnazingua,matusi ya nini wakati nyinyi wasomi au mmefoji vyeti nn..maana hizo lugha mnaongea kama wavuta bangi wakiwa vijiweni

wewe unafaa uwe mshaur wa JF,manaake n majanga
 
Jaribuni kutumia lugha nzur hautopewa sifa kwa matusi bali tutakuona ni kund moja na wale walioenda f1 hawajui kusoma na kuandka na kuiba mthan ndo ikakufkash apo ulipo ndo maana unatukana sanaaaa#!!!!!! JARIIBUN KUWA KAMA WASOMI KWA VITENDO.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…