jkt waongeza majina ya waliomaliza kidato cha sita mwaka 2013

Joined
Jul 20, 2013
Posts
17
Reaction score
5
habari ndio hiyo hapo wanatakiwa kuripoti kuanzia tar. 3 october paka tar. 6 october..! kama unataka kuahirisha utaratibu ni ule ule barua.. source kwenye website ya jkt..! nawasilisha
 
Wakuu naskia kuwa majina yaliyoongezwa na wale waliopata dv four na zero ni kwel wakuu? Tujuze ili kama n wote tukaandke barua
 
Wakuu naskia kuwa majina yaliyoongezwa na wale waliopata dv four na zero ni kwel wakuu? Tujuze ili kama n wote tukaandke barua

majina yote yapo dv 3 had ziro ,mbona me nipo na now naandika barua. we upo kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…