Ni ujinga kumaliza hela ambayo wangeitumia wahusika wakati wakiwa vyuoni,
Sioni mantiki yake kutumia alotvof money kugharimikia mafunzo hayo na hao hao walioenda kufundishwa wakifika vyuoni wanashindwa kuendelea na masomo eti serikali haina pesa........ Stupid