KAORGANISM
Member
- Aug 29, 2013
- 7
- 2
Wadau mwenye info kuhusu waliopo jkt wanarudi lini? Na kuna vyuo vimeshafungua kama mwenge
Wadau mwenye info kuhusu waliopo jkt wanarudi lini? Na kuna vyuo vimeshafungua kama mwenge
Nasikia mwisho wa mwezi huu wa sept nadhani kwenye tarehe 27 mkuu
sawa sawa nimekuelewaKwa hali halisi ya kambi za mafunzo hawawezi kurudi wote kwa pamoja,wanaweza kutofautiana hadi siku 10...utofauti huu unatokana na uhaba wa bendi za kupiga kwata ya kiapo (kwata ya mwisho)..nasikia kundi la kwanza ruvu jkt wataapa trh 27 so kundi la mwisho linaweza kurudi mwanzoni mwa mwezi wa 10
wengine awamu ya 3 wanaripoti mwezi wa 10.
Wadau mwenye info kuhusu waliopo jkt wanarudi lini? Na kuna vyuo vimeshafungua kama mwenge
wanarudi kuanzia tarehe 27 paka 29..! source jamaa yangu alinipigia simu jana ye yuko kigoma wanarudi tar 27
Acha mananga yarudi,yameangushia kinoma...tuna mpango tuliopita 1st intake tuwaivishe hao watoto mchele mchele na wale ambao hawajaenda kabisa
wazi afande,nikiwa mfuas mzuri nimeidaka xaut yako![updated boy]
Poti hawana wema wale wamekula minyama ya jeshi buree...inabid tukikutana nayo chuoni ni DOSO kuroll,kucraw,beba dunia,piga cm,jambo afande za kutosha mpaka wajute kwanini waliangushia