Jamii forum nipo pamoja na wale wote walio Great Thinker nawapa "Respect" zao. Na pia memba wote nasema Hellow kwa wote,ninatambua kazi nzito ni kupata lililo makini na umuhimu toka kwa kila thinker wa jamii yetu. Tuhifadhi jamii yetu kwa urithi wa fikra sahihi za waasisi wa Taifa letu na wazalendo wa siku za leo.