JNHPP imewashwa na ndoto za watanzania zimetimia

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Julius Nyerere Hydropower Project ni miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu ya nishati nchini ikiwa na uwezo wa MW 2,115.

Ukubwa wake unaonyesha dhamira ya Tanzania kuongeza uwezo wake wa kuzalisha nishati na kuimarisha msingi wa uchumi wake kwani ni mradi mkubwa wenye maono makubwa na unaobeba matumaini ya kizazi cha sasa na kijacho.

Your browser is not able to display this video.

​
 
Umeme sasa upungue bei kama alivyo tuahidi Hayati Jpm ...sio mnawasha harafu bei ibaki pale pale.
 
Ndoto ya Watanzania ni kupungua kwa gharama za umeme. Hilo halijatokea.
 
Mtaani kwangu tatizo la kukatikakatika umeme lipo palepale pia upungufu wa umeme jioni upo palepale, naju bei itapanda tusubiri muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…