JNIA - 3rd biggest and the most modern Airport in Africa

Propaganda
How many air bridges is JKIA having? πŸ˜€ 🀣

See a fact, together with a refugee tent!

KAA aims to increase the airport’s capacity from the existing six million to 10.3 million passengers per year.

The authority has recently unveiled two new terminals at the JKIA.

 
Mchizi nakushairi jipigepige Mwanangu, Uende hata kigali na Kurudi,
Walau upate exposure, Unajua haya mambo ukiwa unabishana halafu huna uelewa nayo unakuwa kama mpiga kelee.
Exposure africa? watu tumepita schiphol, frankfurt,Doha,Abu Dhabi,Ataturk,Vienna International,Berlin Tegel halafu nizuzuke na viwanja ya africa? Nimekwambia taja kiwanja cha kwanza na cha pili kama unaona cha bongo ni cha tatu kwa ukubwa.
Kukusaidia naweka baadhi ya viwanja vya africa kisha taja cha kwanza na cha pili

CAPETOWN


OR TAMBO


MAURITIUS


KOTOKA (GHANA)


BOLE(ETHIOPIA)


ALGERIA



HURGHADA(EGYPT)



RABAT(MOROCCO)



SENEGAL (Blaise Diagne )


Haya baadhi hiyo
 

Kweli wewe Mchizi.
 
Tatizo letu wala sio kutengeneza vitu vizuri, shida yetu kubwa ni kutunza vitu vyetu. Rudi baada ya miaka kumi, ulizia tu AC kama zipo active, ulizia hizo ngazi kama zinafanya kazi, nenda vyooni huko.

Shida yetu kubwa ni kutunza miundombinu yetu.
 
Kukusaidia naweka baadhi ya viwanja vya africa kisha taja cha kwanza na cha pili
You people have a nest for an airport. I was shocked to note that our Nairobi sgr terminal is bigger than thing you are calling Terminal 3.Mwenye aliwaroga alirusha ufunguo Indian Ocean

Uwezo wa abiria.

1.
OR Tambo (SA) - 21.2m
2. Cairo International Airport (Egypt) - 14.7m
3. Bole International Airport (Ethiopia) - 12.1m
4. Cape town International Airport (SA) - 10 million
5. JKIA (Tanzania) - 9m
6. Mohammed V International Airport (Morocco) - 8.1m
7. Houari Boumediene Airport (Algerian) - 7.5m
8. JKIA (Kenya) - 7m
9.
Kotoka International Airport (Ghana) - 6.5 million
10. Sir Seewoosagur Ramgoolam International Airport (Mauritius) 3.7m
11. Blaise diagne international airport passengers (Senegal) - 3m
 
Mbona ccm inawapumbaza ati ni ya tatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao abiria 9M wameingia lini wakati uwanja umefunguliwa hapa juzi? Busiest Airport inapimwa idadi ya abiria waliotumia uwanja kwa mwaka .Uwezo wa uwanja wa JNIA kwa mwaka ni kuhudumia abiria 6M.
 
Haya, tuwekee abiria waliopitia hizo viwanja mwaka wa 2018.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Cheap shots, Jaribu tena, usituuletee story za vijiweni hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…