JNIA - 3rd biggest and the most modern Airport in Africa

Mbona ccm inawapumbaza ati ni ya tatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao abiria 9M wameingia lini wakati uwanja umefunguliwa hapa juzi? Busiest Airport inapimwa idadi ya abiria waliotumia uwanja kwa mwaka .Uwezo wa uwanja wa JNIA kwa mwaka ni kuhudumia abiria 6M.
Mngekuwa makini mngeona niliposema uwezo wa abiria?
Sijui hata unachoongea ni nini.Hebu soma hii taarifa ya serikaöli



kwenye hiyo taarifa ya serikali inasema jengo la terminal 3 linauwezo wa kuhudumia abiria 6m, ukijumlisha na 3m ya terminal 1 na 2 unapata 9m. Umeelewa sasa?
 
Mngekuwa makini mngeona niliposema uwezo wa abiria?


View attachment 1260897

kwenye hiyo taarifa ya serikali inasema jengo la terminal 3 linauwezo wa kuhudumia abiria 6m, ukijumlisha na 3m ya terminal 1 na 2 unapata 9m. Umeelewa sasa?
Ndio maana nikabisha.Wewe umechukua data za abiria kwenye busiest Airports (2018) Lakini za uwanja wa JNIA ukaweka data za uwezo wa uwanja kitu ambacho si sahihi. Hao 9M hawakutumia uwanja wa JNIA mwaka jana,sidhani hata 3M walifika.
 
Pongezi kwa Rais Mstaafu Dk Jakaya Mrisho Kwikwete
 
Hii ni kwa mujibu wa "survey " iliyofanywa baada ya kuhojiwa wasafiri na mashirika ya ndege kadhaa yanayotumia viwanja vya Afrika.Tanzania hoyeeeeee!


Kamdanganye bibi yako asiejua kusoma wala kuandika (ambae pamoja na hivyo anaweza kuwa na akili kuliko wewe):

Top 10 largest airports in Africa
The Africa Logistics July 8, 2019
0 25,062 2 minutes read



FacebookTwitterGoogle+LinkedInStumbleUponTumblrPinterestRedditWhatsApp
Africa has been made major strides in developing airports of international calibre as the continent angles itself to attract global investment and spur economic growth. Here are the top largest airports in Africa:
1. Oliver Tambo International Airport

Founded in 1952, O.R. Tambo International Airport is Africa’s biggest and busiest airport, facilitating over 21 million passengers a year. More than 50 percent of South Africa’s air travelling passengers are facilitated through the airport. The airport is named as a tribute to one of South Africa’s most important founding fathers; Oliver Reginald Tambo,
2. Cairo International Airport
is the international airport of Cairo and the busiest airport in Egypt and serves as the primary hub for EgyptAir, EgyptAir Express and Nile Air as well as several other airlines. The airport is located in Heliopolis, to the northeast of the Cairo around 15 kilometres (9.3 mi) from the business area of the city and has an area of approximately 37 square kilometres (14 sq mi). It is the second busiest airport in Africa after OR Tambo International Airport in Johannesburg.
3.Cape Town International Airport, Cape Town, South Africa
Cape Town International Airport, is the main international gateway of Cape Town in South Africa and surroundings.Is the second busiest airport in the country and the third one in Africa.
Located approximately 12 miles (20 km) from the city centre of Cape Town, CPT airport operates with international and domestic flights. Is the only airport in the Cape Town metropolitan area that offers scheduled passenger services.
4.King Shaka International Airport, Durban, South Africa
King Shaka International Airport opened in May 2010. This world class facility offers a host of features to make your traveling experience as comfortable and pleasurable as possible. Shops and restaurants, a bank and post office are just a few additional features King Shaka International Airport has to offer. King Shaka International is said to be three times bigger than Durban International airport and have five times as many shops.
5.Sharm El-Sheikh international airport
The Sharm El-Sheikh international airport is considered to be the second (after Cairo) major airport in Egypt. The airport has approximately 10 million passenger traffic yearly. The airport is located in the heart of the resort area just near the Red Sea coast.
6.Hurghada International Airport
Sprawled 5km southwest of El Dahar, Hurghada Airport, the sixth on the log is currently served by one terminal. But plans are already in top gear to make it a cynosure of all eyes while passengers will have access to a wide variety of stores, duty-free boutiques and restaurants.
7. Mohammed V International Airport
It is an international airportserving Casablanca, Morocco. Located in Nouaceur Province, it is operated by ONDA (National Airports Office). With just under 8 million passengers passing through the airport in 2014, it was the busiest airport in Morocco and the fourth busiest in Africa.
8. Murtala Mohammed International Airport
Is an international airport located in Ikeja, Lagos State, Nigeria, and is the major airport serving the entire state. The airport was initially built during World War II and is named after Murtala Muhammed, the fourth military ruler of Nigeria.Originally known as Lagos International Airport, it was renamed in the mid 1970s, during construction of the new international terminal, after a former Nigerian military head of state Murtala Muhammed.
9. Jomo Kenyatta International Airport
JKIA Is an international airport in Nairobi, the capital of and largest city in Kenya. Located in the Embakasi suburb 15 kilometres (9 mi) southeast of Nairobi’s central business district, the airport has scheduled flights to destinations in over 50 countries.Originally named Embakasi Airport, the airport’s name was changed in 1978 to honor Jomo Kenyatta, Kenya’s first president and prime minister. The airport served over 7 million passengers in 2016,making it the seventh busiest airport in passenger traffic on the continent.
10.Port Elizabeth International Airport
Known as the ‘ten minute airport’, Port Elizabeth Airport is situated within five minutes drive from the central business district and the beach front and
 
Where is the largest airport in the world? JNIA?
 

Our own JKNIA is nowhere to be seen!

Where is my binoculars?!

I see nothing from mawe’s propagandistic airport!

Shame on these Useless CCM dick suckers!
 
Huna akili wewe, nenda kaliwe uroda na wajinga wenzako, kichwa cha habari kinasema " is the third largest and most modern airport", wewe unaleta orodha ya "busiest airports".

Hivi unajua kwamba uwanja wa mpira wa "Soccer city" kule Afrika kusini " is the biggest in Africa" lakini sio unaopata watu wengi ukilinganisha na viwanja vya Nigeria na hiki cha Tanzania kutokana na watanzania na wanigeria kupenda mpira?

Unajua kwamba " Modernity" ya uwanja wa ndege ni kigezo kinachotokana na vifaa na technology iliyotumika na wala sio kutokana na wingi wa ndege zilizopita au idadi ya watu waliopita?
 
Acheni propaganda za kimatako namna hii!

Hakuna watoto humu nyie mawe’s butt givers!
Sindano imewaingia, tunazungumzia vigezo viwili hapa," capacity and modernity" kwa pamoja.
1)Interm of Capacity, JNIA is 5th in Africa
2)Interms of modernity is the 2nd in Africa
3)Overall position is 3rd in Africa.

Umeelewa?
 
Ndio maana nikabisha.Wewe umechukua data za abiria kwenye busiest Airports (2018) Lakini za uwanja wa JNIA ukaweka data za uwezo wa uwanja kitu ambacho si sahihi. Hao 9M hawakutumia uwanja wa JNIA mwaka jana,sidhani hata 3M walifika.
Hizo airport nyingine huo ndio uwezo wao wa juu kuhudumia bila kujali abiria waliopitia hapo.
 
Sindano imewaingia, tunazungumzia vigezo viwili hapa," capacity and modernity" kwa pamoja.
1)Interm of Capacity, JNIA is 5th in Africa
2)Interms of modernity is the 2nd in Africa
3)Overall position is 3rd in Africa.

Umeelewa?
Wengi wamekujibu kwa kukurupuka mkuu!!!! Ndo shida ya kujibu huku mtu ukiwa jazba.Wasamehe.
 
Wengi wamekujibu kwa kukurupuka mkuu!!!! Ndo shida ya kujibu huku mtu ukiwa jazba.Wasamehe.
Kwa upande wa wakenya, nilitegemea hayo majibu yao, weo wapo katika "Denial stage", hawaamini kinachotokea, lazima waendelee kubisha ili kujiliwaza kwamba bado JKIA ndiyo inayoongoza katika ukanda huu. Siku za nyuma walikuwa wabazungumzia kuhusu " the biggest airport ", sasa hivi hawataji tena neno" the biggest", wamehamisha goli, sasa wanatumia " the busiest airport ". Ili muradi tu waonekane bado wanaongoza.
 
Kamdanganye bibi yako asiejua kusoma wala kuandika (ambae pamoja na hivyo anaweza kuwa na akili kuliko wewe):

Top 10 largest airports in Africa
Our own JKNIA is nowhere to be seen!

Where is my binoculars?!

I see nothing from mawe’s propagandistic airport!

Shame on these Useless CCM dick suckers!
Kwenye orodha hii Bole International airport iko wapi?
 

Poor you! Title ya article ni "10 largest" sio "10 busiest". Nenda kamlambe matako jiwe. Eti "survey iliyofanywa kwa kuuliza wasafiri"! What sort of survey that gets information in that way? Hao "wasafiri" walikuwa selected vipi? Pumbavu wakubwa mataga nyie! Danganyeni wapumbavu wenzenu; hapa kuna watu wenye akili.
Siku nyingine fanya homework kabla ya kuleta upuuzi wenu mnaotumwa na mungu wenu jiwe.
Oops! Sorry; hujui maana ya homework, kwa hiyo nisamehe kwa kukuambia kitu ambacho ni juu ya uwezo wako wa kuelewa. Unachoweza ni kuimba mapambio ya kumsifu mungu wenu jiwe.
 
Sindano imewaingia, tunazungumzia vigezo viwili hapa," capacity and modernity" kwa pamoja.
1)Interm of Capacity, JNIA is 5th in Africa
2)Interms of modernity is the 2nd in Africa
3)Overall position is 3rd in Africa.

Umeelewa?

And this is according to who?

Weka credible link hapa!
 
Pongezi kwa Kikwete na viongozi wa awamu ya nne kwa hii terminal
 
Tofautisha kati ya "survey" na "research". Huna akili ya kujibishana na Mimi wewe, unaniuliza " survey" itafanyikaje, kweli wewe ni pumbavu. Hujui jinsi ya survey inavyofanyika. Hivi kwanini wewe ni mpumbavu kiasi hicho?. Hujui kwamba unaweza kupata taarifa muhimu za Airport toka kwa mashirika ya ndege na wasafiri wanatumia huo uwanja wa ndege?. Punguza ujinga aisee, pimbi mkubwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…