JNIA Business/First class lounge jemenj aibuuu tupu

Nairoberry

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
932
Reaction score
525
JNIA Business/First class lounge jemenj aibuuu tupu . juzi dar nimewasili JNIA kutaka kusafiri Nai kwa sababu mimi usafiri business class nikawa checked in kwa business lounge. jemeni kwanza ilo jumba ni kama la sijui kutoka miaka ya 1900 kama tu fort jesus mombasa. nikasema amna shida kuingia ndani nikaagiza menu jemeni ni samosa soda tu na vichakula vya kiswahili.... kuuliza niitiwe meneja muhindi ndo katokea eti ndio. mwenyewe... sasa sikutaka kubishana nae sana nikamuuliza mbona amna vitu vingine angalau vyakula vya kimataifa.... akasema kwa kawaida wasafiri wengi uwa tu ni wabongo na mahitaji yao yanatosheka. mi ni kanywa soda tu nikisubori. kwa kichwa nilikiwa nawaza tu hawa wajinga wa bongo hapa jf vile wanakiburi kuhusi JNIA na iyo ndege yao moja inayojengwa. aisee wabongo nyinyi mko miaka karibu 100 nyuma ya Kenya.
 
Hauna hela ya kupanda weye ondoa fiksi hapa!
 
hasira hasara macho umekondoa kwa hasira zote lakini uo ndio ukweli baba nadhani hujawahi fika JNIA wewe ni boya tu wa dala dala.

Nimeshafika mara nyingi tu kusindikiza na kupokea wageni, huo uwanja una miaka zaidi ya 30 nafikiri, hivyo siyo modern kihivyo, lkn terminal 3 inakuja karibia inakwisha!
 
ushajisema wewe ni dereva wa tour nyambafu kabisa. unategemea tips na kufurahisha wazungu ili kupata riziki auna aibu. terminal 3 yenyewe ni kama green house sijui nyinyi na uo umbilikimo wenu nani atamsaidia bure kabisa.
 
Mimi siyo dereva, kwani kupokea na kusindikiza wageni ni lazima uwe dereva wa tours? isitoshe hata kama ni dereva tatizo liko wapi?
 
tatizo ni kuwa wewe huna hela ya kupanda ndege kwa iyo kaa kimya dogo usijadili mambo hayakuhusu
 
Hela ya kupanda ndege ninayo ila naogopa kupanda ndege ndo maana sipandi, mimu husafiri kwa gari tu, hata Nairobi huja kwa demu wangu kwa gari tu!
 
Haha Barbarosa siku hizi umewacha kuongea matope kuhusu Kenya tangu upate demu mkenya. Umekuwa mpole sana.
 
Hela ya kupanda ndege ninayo ila naogopa kupanda ndege ndo maana sipandi, mimu husafiri kwa gari tu, hata Nairobi huja kwa demu wangu kwa gari tu!
Hela ya kupanda ndege ninayo ila naogopa kupanda ndege ndo maana sipandi, mimu husafiri kwa gari tu, hata Nairobi huja kwa demu wangu kwa gari tu!
subiri iyo ndege yenu ije nyinyi wote tanzania nzima mpate nafasi ya kuikaribisha kwa shangwe na nderemo labda utapata nafasi ya kuiabiri.... yote tisa.... business class yenu aibu jemeni mpaka. mna ndizi na supu...... uyo muhindi amemueza kabisa
 
Aibu kwa nani? kwako au?
 
bro, what do u expect from an LDC country other than mediocrity?😀😀😀 aiport zao zimejengwa na mabati kwanza
 
JNIA Business/First class lounge jemenj aibuuu tupu . juzi dar nimewasili JNIA kutaka kusafiri Nai kwa sababu mimi usafiri business class nikawa checked in kwa business lounge. jemeni kwanza ilo jumba ni kama la sijui kutoka miaka ya 1900 kama tu fort jesus mombasa. nikasema amna shida kuingia ndani nikaagiza menu jemeni ni samosa soda tu na vichakula vya kiswahili.... kuuliza niitiwe meneja muhindi ndo katokea eti ndio. mwenyewe... sasa sikutaka kubishana nae sana nikamuuliza mbona amna vitu vingine angalau vyakula vya kimataifa.... akasema kwa kawaida wasafiri wengi uwa tu ni wabongo na mahitaji yao yanatosheka. mi ni kanywa soda tu nikisubori. kwa kichwa nilikiwa nawaza tu hawa wajinga wa bongo hapa jf vile wanakiburi kuhusi JNIA na iyo ndege yao moja inayojengwa. aisee wabongo nyinyi mko miaka karibu 100 nyuma ya Kenya.
Huja safiri fala wewe. Kwa jinsi mnavyopenda kujigamba lazima ungepiga picha. Tuonyeshe picha
 
bro, what do u expect from an LDC country other than mediocrity?😀😀😀 aiport zao zimejengwa na mabati kwanza
hii ni true story am not making up hawa wajinga wanakuja hapa kuongea upuuzi tu wana lolote. tukifikisha 100$b nadhani ndio watatulia.
 
Back
Top Bottom