JNIA Business/First class lounge jemenj aibuuu tupu

Boss hii story ya hawa wazeiya imekujamisha manze, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
bana unajua business clas pale JKIA ni kama uko sijui wapi 6 stars hotel au zaidi kama kuna kitu kama icho. firstly the most expensive drinks in the world whiskeys etc food nayo ni international you can choose chinese italian etc as you relax... i always check in karibu 3-4 hours before so that i enjoy that lounge imagine furaha yangu ya kulipa Business class uwa coz of the lounge hapo pia you meet with CEOs of serious companies in the world si crdb za bongo debt ridden
 
niweke picha manake wewe hujawahi fika hapo jnia.ili nikusaidie kusimuliwa watu uko kijijini vile ulisafiri kwa ndege acha upumba nenda mwenyewe ukapige picha
Sikunyingine usile story zako za uwongo humu ndaniπŸ˜€πŸ˜€ πŸ˜€ Stop editing another article then end up saying its yours. We are smart humu ndani mkuu. Huu JF kuna watu wengi wakubwa kwa upande wa TZ. Kuweni makini na uwongo wenu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Acha kujisumbua na mjinga
Jamaa story yake ukiisoma unamuona kuwa ni hasira za Boeing 787-8 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Amekaa chini akatafuta story google akasema ni yeyeπŸ˜€πŸ˜€ Nibora ange quote akaelewekaπŸ˜€πŸ˜€ Huyu mkikuyu wa first class leo kanifurahisha. Mwaswast type zinajitokeza kila siku.
 
Kila mtu na priority yake. Hata Magufuli anapenda sana gari kuliko ndege. Uzuri wa gari una enjoy scenery ya maeneo pamoja nakuongeza exposure. Hakuna usafiri usiokuwa na risk duniani.
 
Movie bado inaendeleaπŸ˜€πŸ™„πŸ™„
 
Kila mtu na priority yake. Hata Magufuli anapenda sana gari kuliko ndege. Uzuri wa gari una enjoy scenery ya maeneo pamoja nakuongeza exposure. Hakuna usafiri usiokuwa na risk duniani.
nakubaliana...gari unaweza enjoy scenery sana....ndege saa zote inaboa....ila barabara za kiafrika ni hatare sana aisee...magufuli anaposafiri magari yanaondolewa barabarani anapopita.....anachungwa sana maana ni rais...ila mwananchi wa kawaida kama una value maisha yako heri upande ndege au treni unless uko europe au marekani...kule ni safe kusafiri kwa magari angalau kidogo kuliko bara hili ambalo usafiri wa barabarani ni kama kusaini death warrant...
 
Mr First class leo umenifurahisha. Lounge yetu sio mbaya kivile though not very attractive.
 
Huwa unawasiliana vipi na hao waarabu wenzako kama Kizungu kinakukanganya na kiswahili pia kinakukwepa?
 
Mkenya asafiri bila picha huyu labda alikua anaota kwenye fulu suti lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…