JNIA is the alternative airport for all Emirate Airlines in Sub sahara Africa.

Hapa inategemea ni emergency ya aina gani.Haiwezekani ndege ipate hitilafu angani badala ya kuangalia uwanja wa karibu eti waanze kuitafuta alternative airport
Hivi unajua kuwa ilipata emergency ya bad weather.?? Pilots wanakuwa wamepewa alternate airport ya kila eneo la hizo ndege. Sub sahara wameichagua JNIA lakini pale labda ikitokea tatizo nikubwa sana na hawezi fika JNIA akiwa ndani ya Sub sahara Africa anaweza angalia uwanja wa karibu zaidi.
Swala la emergency likiwa kubwa zaidi wengine wanapeleka ndege baharini kama emergencyπŸ˜€πŸ˜€ Ndo maana ndege zina life jacket.
 
Huyo anae hongea ni mfanyakazi wa Emirates hapa Tanzania. Nahatujabisha kuwa chanzo ilikuwa bad weatherπŸ˜€πŸ˜±
Tunachosema JNIA ni alternate landing ya ndege zote za Emirates in Sub Sahara Africa
Airport controller ni mfanya kazi airport??????..you win
 
Aisee wasije wakavunja bombardier zetu!
Unahamka asubuhi unakuta imepigwa jina la Jambo Jet na registration number imebadilishwaπŸ˜€πŸ˜€ Pilot anaanza kutafuta ndege kwenye mifuko ya trouser.πŸ˜€πŸ˜€ Usicheze na mtu anaitwa mkikuyuπŸ˜€πŸ˜€ Huyo mtu ukimuuliza hata kiwanda chakutengenaza horn ya ndege, Nairobi utapataπŸ˜€πŸ˜€
 
Airport controller ni mfanya kazi airport??????..you win
We kichaa wa kikenya ndege aikuwa na tatizo ila hali ya hewa ya nchi iliyotakiwa kutua hivyo kuja tz kama ndege ingekuwa na matatizo yenyewe basi hoja yako ingekuwa sawa
 
We kichaa wa kikenya ndege aikuwa na tatizo ila hali ya hewa ya nchi iliyotakiwa kutua hivyo kuja tz kama ndege ingekuwa na matatizo yenyewe basi hoja yako ingekuwa sawa
Hata ikitokea inatatizo lakini ikaona inaweza kufika JNIA kama alternate route inakuja.
 
JNIA umechaguliwa na Emirates kuwa alternative airport ndani ya sub sahara Africa kwa ajili ya ndege zao. Hawajatua bahati mbaya.
Distance haikuwa chanzo.πŸ˜€πŸ˜€
Kwa nini haikuchaguliwa JKIA ??
Bwana abubakari ameongea kishabiki na sio kitaalam. Ni kweli 380 inatua kwenye viwanja ila sio south africa pekee yake kwa sub sahara.

Labda anayejua atujuze zaidi.
 
Waziri amesema kutua 380 jana ni maendeleo chanya.
Wakati emergency landing kama hakuna alternative unatua hata baharini au barabara ya magari
 
Bwana abubakari ameongea kishabiki na sio kitaalam. Ni kweli 380 inatua kwenye viwanja ila sio south africa pekee yake kwa sub sahara.

Labda anayejua atujuze zaidi.
Wewe fala kweli yani unampinga alafu unataka mtu akujuzeπŸ˜€πŸ˜€ Wewe twambie ni nchi gani nyingine ya sub sahara Africa inatua zaidi ya South Africa. Unapo pinga inabidi uwe na evidenceπŸ˜€ Sio unaandika tuπŸ˜€πŸ˜€
 
Ipo kwenye ilani ya ccm.
Pole pole aliwaambia watue pale jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…