joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hivi wewe ni kichaa?, hizi ni report za 2009/2010, wakati huo Nairobi haikuwa na shida ya maji kabisa, hali ilivyo sasa hivi ni tofauti, huwezi kutumia report ya zamani katika mambo ya muda mfupi, stupid.Nahurumia mama aliyekuzaa..
View attachment 756285
hahahahahahahahahaha!!!!!! nchi yanguWatu wanasherekea direct flights to New York..wewe unasherekea kukua alternative airport
hahahahahahahahahaha!!!!!! nchi yangu
Tatizo sio landing. Tatizo ni ukubwa wa ndege ambayo imefanya landing. And soon tutaanza ku host ndege zetu wenyewe mambo ya Kenya kua East hub yatakwisha. Mtabaki kuwaburuza Uganda.Emirates na Etihad wote wanaoperate hadi Eldoret na sijawai kuskia wakenya wakijigamba hapa. Enyewe Tanzania munafurahia kuona maendeleo ndogo ndogo ambapo ni vyema. Lakini kubrag to Kenyans about somethings inatia aibu tu.
Ukiboko gani anao Collo wewe Zero Brain. Huyo mwenyewe alidai mwanzo ndege haiwezi kutua. Kalambe K huko !Yaani huu uzi full kicheko, COLLOH-MZII RELOADED wewe kiboko cha hawa kweli, big up 254, jamaa hadi wanatamani kulia.
52% schools with no doors for girls latrines.....ndio maana imebidi hadi rais aingilie maana watoto wanatiwa mimba sana huko.
Uganda na Rwanda pia wameanza ujenzi wa terminals mpya. Hawa jamaa tunalambisha kundu mwanzo mwisho. Mambo ya Hub of East Africa watakufa kifo cha mendeTatizo sio landing. Tatizo ni ukubwa wa ndege ambayo imefanya landing. And soon tutaanza ku host ndege zetu wenyewe mambo ya Kenya kua East hub yatakwisha. Mtabaki kuwaburuza Uganda.
Airbus 380 inaweza land hadi Isiolo airport, emergency landing sio kitu ya kufurahia ety sasa nyinyi ni hub of East Africa. Bado mko mbali sana kupiga mdomo ovyo kwa maswala ya ndege.Tatizo sio landing. Tatizo ni ukubwa wa ndege ambayo imefanya landing. And soon tutaanza ku host ndege zetu wenyewe mambo ya Kenya kua East hub yatakwisha. Mtabaki kuwaburuza Uganda.
Haha umetishaUnahamka asubuhi unakuta imepigwa jina la Jambo Jet na registration number imebadilishwaππ Pilot anaanza kutafuta ndege kwenye mifuko ya trouser.ππ Usicheze na mtu anaitwa mkikuyuππ Huyo mtu ukimuuliza hata kiwanda chakutengenaza horn ya ndege, Nairobi utapataππ
Tatizo sio landing. Tatizo ni ukubwa wa ndege ambayo imefanya landing. And soon tutaanza ku host ndege zetu wenyewe mambo ya Kenya kua East hub yatakwisha. Mtabaki kuwaburuza Uganda.
Hizo Jumbo Jet hata airplane manufacturers wanataka kusitisha kuzitengeneza huku wengine wanashabiki eti imeland. Wah!Airbus 380 inaweza land hadi Isiolo airport, emergency landing sio kitu ya kufurahia ety sasa nyinyi ni hub of East Africa. Bado mko mbali sana kupiga mdomo ovyo kwa maswala ya ndege.
A380 ilishaa malizwa ...airbus wanadeal na A350 sasaHizo Jumbo Jet hata airplane manufacturers wanataka kusitisha kuzitengeneza huku wengine wanashabiki eti imeland. Wah!
Boeing hawana mipango ya kuendeleza B747 tena.A380 ilishaa malizwa ...airbus wanadeal na A350 sasa