Bi 2 zinalipika.Inahusu nini
Tunajenga SGR kwazaid ya hizoBi 2 zinalipika.
unapopewa hongera basi hongereka😀😀sijui kama hilo ni neno la kiswahili...pengine mtu anisaidie🙄Nyie wapi mlipojaribu Greenfield terminal?
Yap its keenly,and well, the debt is generosly diversified. But never reveal your defect to your enemy. It can be used to its advantage.Tunajenga SGR kwazaid ya hizo
Inashindikana kulipika kiaje!
Hizo story za Ufipa Hazina mashiko
Hahah haina tatizounapopewa hongera basi hongereka😀😀sijui kama hilo ni neno la kiswahili...pengine mtu anisaidie🙄
Kwa niaba ya Watanzania wenzangu tunashukuru jirani huu ndo uungwana.Hapo nayo mmejaribu. Hongera sana
Tuwekee na maendeleo ya ujenzi wa Chato International Airport mkuu
alitoa mfukoni mwake?Hilo limekuuma sindio
Lakini unajua Jengo hilo lilisimama kwa ukosefu wa fedha!
Magu alipo ingia akatoa fedha
Tatizo lipo wapi
Huko ni kujaribu au kufanya, lazima u belittle ndio roho yako isuuzike.Hapo nayo mmejaribu. Hongera sana
Mfukoni mwakoalitoa mfukoni mwake?
Msamehe bure mara nyingine watu wasiojielewa kama hawa ni kuwaacha tu. You uwabja wa ndege hausiani na politics ukobkwenye mpangilio wa miaka mingi.Hiviwewejamaambonaunakuwadisgracesanakwaniniusianzishethreadkulekwenyesiasabadalayakeupounsonyeshayourweaknessugenini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watanzania badoo wslipata uhuru lakini bado hawajajikomboa kifikra kwa hiyo Magu alitoabpesa zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo limekuuma sindio
Lakini unajua Jengo hilo lilisimama kwa ukosefu wa fedha!
Magu alipo ingia akatoa fedha
Tatizo lipo wapi
Inakuhusu sana wenzako Zambia wamelazimishwa kuweka mapolisi as kichina kwenye police force yaoInahusu nini
What the fvck is this!? Sipendi ujinga sister nakuheshimu.Tuwekee na maendeleo ya ujenzi wa Chato International Airport mkuu
Asante sana mkuu.View attachment 881883
Kwa kiasi fulani nimeshiriki kwny huu mradi,I can say naujua kwa namna moja au nyingine,ni jengo zuri na ni jengo zuri zaidi in terms of facilities,ulaya ulaya kbs, hii picha nimeipiga mwenyewe asbh ya jana wakudamsh,lol.
Vizuri Jitaidini kupiga picha mlio kwenye miradi mbalimbali tz ili tupambane vizuri na nyangau tena tumieni camera hdView attachment 881883
Kwa kiasi fulani nimeshiriki kwny huu mradi,I can say naujua kwa namna moja au nyingine,ni jengo zuri na ni jengo zuri zaidi in terms of facilities,ulaya ulaya kbs, hii picha nimeipiga mwenyewe asbh ya jana wakudamsh,lol.