CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Sep 17, 2020 #2 Wakitupa misaada ni wahisani wabia wa maendeleo. Wakitunyima misaada ni Mabeberu. Jiwe ameharibu sana maadili ya Taifa na utu wa Mtu.
Wakitupa misaada ni wahisani wabia wa maendeleo. Wakitunyima misaada ni Mabeberu. Jiwe ameharibu sana maadili ya Taifa na utu wa Mtu.
Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Sep 17, 2020 #3 Hakuna watu wajinga na vilaza kama CCM ndugu yangu. Amini amini nakwambia. Na Ndo mana nchi yetu imekuwa masikini kwa kipindi kirefu. Tunsongozwa na watu wenye akili mbovu kupindukia! Hatuna budi kuitoa CCM kwa namna yeyote ile mwaka huu.
Hakuna watu wajinga na vilaza kama CCM ndugu yangu. Amini amini nakwambia. Na Ndo mana nchi yetu imekuwa masikini kwa kipindi kirefu. Tunsongozwa na watu wenye akili mbovu kupindukia! Hatuna budi kuitoa CCM kwa namna yeyote ile mwaka huu.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Sep 17, 2020 Thread starter #4 CAPO DELGADO said: Wakitupa misaada ni wahisani wabia wa maendeleo. Wakitunyima misaada ni Mabeberu. Jiwe ameharibu sana maadili ya Taifa na utu wa Mtu. Click to expand... Yaani haya mambo haya
CAPO DELGADO said: Wakitupa misaada ni wahisani wabia wa maendeleo. Wakitunyima misaada ni Mabeberu. Jiwe ameharibu sana maadili ya Taifa na utu wa Mtu. Click to expand... Yaani haya mambo haya
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Sep 19, 2020 #6 CAPO DELGADO said: Wakitupa misaada ni wahisani wabia wa maendeleo. Wakitunyima misaada ni Mabeberu. Jiwe ameharibu sana maadili ya Taifa na utu wa Mtu. Click to expand... unamuitaje mtu anayekunyima lifti ukiwa porini na kiu,na unamwitaje mtu anakupa lifti kwa huruma ukiwa porini una kiu. tatizo lenu wapinzani,mmeamua kwa makusudi kabisa kutotumia akili,halafu ccm kwa makusudi kabisa wanapenda kuwachezea kupitia ujinga wenu.
CAPO DELGADO said: Wakitupa misaada ni wahisani wabia wa maendeleo. Wakitunyima misaada ni Mabeberu. Jiwe ameharibu sana maadili ya Taifa na utu wa Mtu. Click to expand... unamuitaje mtu anayekunyima lifti ukiwa porini na kiu,na unamwitaje mtu anakupa lifti kwa huruma ukiwa porini una kiu. tatizo lenu wapinzani,mmeamua kwa makusudi kabisa kutotumia akili,halafu ccm kwa makusudi kabisa wanapenda kuwachezea kupitia ujinga wenu.